Maccm majizi lazima yajitokeze kuelezea hisia zao namna walivyokuwa wamedhibitiwa kkwa madai ya ushiriki hujuma dhidi ya JPMWiki hii mahakama kuu imetoa hukumu ya kesi baina ya bernad membe vs cyprian musiba au "Mwanaharakati huru" kesi ambayo ilifunguliwa na Bernad Membe.
Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na musiba ametakiwa kumlipa membe sh bilion 6. Kuna vigogo wamejitokeza kwenye vyombo vya habari ambao nao waliwahi kutukanwa na kudhalilishwa na musiba ktk nyakati tofauti
Vigogo hao ni pamoja na mzee yusuf makamba Zitto Kabwe na Nape Nnauye
Vigogo hao inaonekana wanawajua wote waliokuwa wanamtuma musiba kutekeleza vitendo hivyo na kumfadhili.
Ushauri kwa vigogo
Ili kukomesha tabia na vitendo hivi ni vema hao waliokuwa wanamtuma na kumfadhili watajwe hadharani ili watanzania tuwajue kwani nao ni sehemu ya washirika wa udhalilishaji
Kutowataja ni kuendelea kuwalea kesho akitoke musiba mwingine watamtuma na kumfadhili .
View attachment 1992821
Wiki hii mahakama kuu imetoa hukumu ya kesi baina ya bernad membe vs cyprian musiba au "Mwanaharakati huru" kesi ambayo ilifunguliwa na Bernad Membe.
Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na musiba ametakiwa kumlipa membe sh bilion 6. Kuna vigogo wamejitokeza kwenye vyombo vya habari ambao nao waliwahi kutukanwa na kudhalilishwa na musiba ktk nyakati tofauti
Vigogo hao ni pamoja na mzee yusuf makamba Zitto Kabwe na Nape Nnauye
Vigogo hao inaonekana wanawajua wote waliokuwa wanamtuma musiba kutekeleza vitendo hivyo na kumfadhili.
Ushauri kwa vigogo
Ili kukomesha tabia na vitendo hivi ni vema hao waliokuwa wanamtuma na kumfadhili watajwe hadharani ili watanzania tuwajue kwani nao ni sehemu ya washirika wa udhalilishaji
Kutowataja ni kuendelea kuwalea kesho akitoke musiba mwingine watamtuma na kumfadhili .
View attachment 1992821
Hakuna MTU msafi ndani ya CCM wote wachafu paka mwendazake Magufuli alikuwa ana mauchafu yake kwahiyo yanayo jiri sasa hivi ni fundisho kwa waliye baki hai hasa wana SIASA sababu hujui kesho yako itakuwa nini HESHIMU kila mtu usimuhukumu MTU kwa weakness yake na ndio iwe fimbo ya kumchapia mbele ya UMMA.Maccm majizi lazima yajitokeze kuelezea hisia zao namna walivyokuwa wamedhibitiwa kkwa madai ya ushiriki hujuma dhidi ya JPM
Chuki, Nongwa, Uzabinazabina na visasi ni lazima wavioneshe hadharani kwa kuwa hakuna wa kukemea
Hata jambazi la kaskazini lilinyeshewa mvua 30 limedai lilitekeleza maagizo toka juu!Sidhani kama tatizo ni wanaokutuma, tatizo lipo kwa anayekubali kutumwa kwenye mambo ya hovyo.
Hata sheria ipo wazi juu ya hili.
Watajwe na walazimishwe kumlipia faini mwanaharakati huru!
Ndo maana tunataka katiba mpya ili iwabane wasipate mwanya wa kuchota tozo zetu!Je utaona ajabu iwapo hao mnaosema watajwe na wamsaidie kulipa faini Musiba , watachota hizo fedha kutoka kwenye TOZO zenu!!!
Inajulikana waziwazi ni nani alikuwa anamtumaWiki hii mahakama kuu imetoa hukumu ya kesi baina ya bernad membe vs cyprian musiba au "Mwanaharakati huru" kesi ambayo ilifunguliwa na Bernad Membe.
Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na musiba ametakiwa kumlipa membe sh bilion 6. Kuna vigogo wamejitokeza kwenye vyombo vya habari ambao nao waliwahi kutukanwa na kudhalilishwa na musiba ktk nyakati tofauti
Vigogo hao ni pamoja na mzee yusuf makamba Zitto Kabwe na Nape Nnauye
Vigogo hao inaonekana wanawajua wote waliokuwa wanamtuma musiba kutekeleza vitendo hivyo na kumfadhili.
Ushauri kwa vigogo
Ili kukomesha tabia na vitendo hivi ni vema hao waliokuwa wanamtuma na kumfadhili watajwe hadharani ili watanzania tuwajue kwani nao ni sehemu ya washirika wa udhalilishaji
Kutowataja ni kuendelea kuwalea kesho akitoke musiba mwingine watamtuma na kumfadhili .
View attachment 1992821
Bro hela alikuwa anapewa hela za hatariSidhani kama tatizo ni wanaokutuma, tatizo lipo kwa anayekubali kutumwa kwenye mambo ya hovyo.
Hata sheria ipo wazi juu ya hili.