Sakata la Musiba waliokuwa wanamtuma na kumfadhili watajwe hadharani ili Watanzania tuwajue

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,989
2,000
Mbona hili ni ize tu, aliyekuwa anamfadhili si kafa, unafikiri angekuwa hai kuna mtu angemgusa yeye au yule mwenzake aliyepigwa mvua 30.
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
1,556
2,000
Wiki hii mahakama kuu imetoa hukumu ya kesi baina ya bernad membe vs cyprian musiba au "Mwanaharakati huru" kesi ambayo ilifunguliwa na Bernad Membe.

Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na musiba ametakiwa kumlipa membe sh bilion 6. Kuna vigogo wamejitokeza kwenye vyombo vya habari ambao nao waliwahi kutukanwa na kudhalilishwa na musiba ktk nyakati tofauti

Vigogo hao ni pamoja na mzee yusuf makamba Zitto Kabwe na Nape Nnauye

Vigogo hao inaonekana wanawajua wote waliokuwa wanamtuma musiba kutekeleza vitendo hivyo na kumfadhili.

Ushauri kwa vigogo
Ili kukomesha tabia na vitendo hivi ni vema hao waliokuwa wanamtuma na kumfadhili watajwe hadharani ili watanzania tuwajue kwani nao ni sehemu ya washirika wa udhalilishaji

Kutowataja ni kuendelea kuwalea kesho akitoke musiba mwingine watamtuma na kumfadhili .

View attachment 1992821
Maccm majizi lazima yajitokeze kuelezea hisia zao namna walivyokuwa wamedhibitiwa kkwa madai ya ushiriki hujuma dhidi ya JPM

Chuki, Nongwa, Uzabinazabina na visasi ni lazima wavioneshe hadharani kwa kuwa hakuna wa kukemea
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,094

Jameel2013

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
751
1,000
Maccm majizi lazima yajitokeze kuelezea hisia zao namna walivyokuwa wamedhibitiwa kkwa madai ya ushiriki hujuma dhidi ya JPM

Chuki, Nongwa, Uzabinazabina na visasi ni lazima wavioneshe hadharani kwa kuwa hakuna wa kukemea
Hakuna MTU msafi ndani ya CCM wote wachafu paka mwendazake Magufuli alikuwa ana mauchafu yake kwahiyo yanayo jiri sasa hivi ni fundisho kwa waliye baki hai hasa wana SIASA sababu hujui kesho yako itakuwa nini HESHIMU kila mtu usimuhukumu MTU kwa weakness yake na ndio iwe fimbo ya kumchapia mbele ya UMMA.
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,695
2,000
Sidhani kama tatizo ni wanaokutuma, tatizo lipo kwa anayekubali kutumwa kwenye mambo ya hovyo.

Hata sheria ipo wazi juu ya hili.
Hata jambazi la kaskazini lilinyeshewa mvua 30 limedai lilitekeleza maagizo toka juu!
 
Duplicate_90

JF-Expert Member
Mar 29, 2020
266
500
Je utaona ajabu iwapo hao mnaosema watajwe na wamsaidie kulipa faini Musiba , watachota hizo fedha kutoka kwenye TOZO zenu!!!
Ndo maana tunataka katiba mpya ili iwabane wasipate mwanya wa kuchota tozo zetu!
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,815
2,000
Wiki hii mahakama kuu imetoa hukumu ya kesi baina ya bernad membe vs cyprian musiba au "Mwanaharakati huru" kesi ambayo ilifunguliwa na Bernad Membe.

Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na musiba ametakiwa kumlipa membe sh bilion 6. Kuna vigogo wamejitokeza kwenye vyombo vya habari ambao nao waliwahi kutukanwa na kudhalilishwa na musiba ktk nyakati tofauti

Vigogo hao ni pamoja na mzee yusuf makamba Zitto Kabwe na Nape Nnauye

Vigogo hao inaonekana wanawajua wote waliokuwa wanamtuma musiba kutekeleza vitendo hivyo na kumfadhili.

Ushauri kwa vigogo
Ili kukomesha tabia na vitendo hivi ni vema hao waliokuwa wanamtuma na kumfadhili watajwe hadharani ili watanzania tuwajue kwani nao ni sehemu ya washirika wa udhalilishaji

Kutowataja ni kuendelea kuwalea kesho akitoke musiba mwingine watamtuma na kumfadhili .

View attachment 1992821
Inajulikana waziwazi ni nani alikuwa anamtuma

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Bongo-mpya

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
309
250
Wakina Makamba babu, Zitto Kabwe na Nape Mnauye, kuna machavu mengi yanayofanyika na serikali ya ccm! Ongeleeni pia hayo!!! Wote tunafurahia ya Musiba lakini haitoshi!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom