GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,616
- 4,260
Wakuu katika matukio ya kijamii yaliyoumiza wengi wiki hii basi la huyu mtoto wa Kampala kutaka kuuliwa na yule housegirl shetani ni kubwa zaidi!
Jana tarehe 22 November 2014 ndiyo tulio wengi tumepata taarifa hii, na binafsi nimekutana na wanaume kwa wanawake kadhaa wakisema wametoa machozi!
Leo kupitia mtandao wa NBS news nimeutana na kauli ya polisi juu ya tukio hili. Ni kwamba prosecutors "waendesha mashtaka" waliomfungulia mashtaka "dhidi ya utesaji" kwa mujibu wa sheria ya kuzuia utesaji " yaani anti_torture act, section 3! Lakini kwa mujibu wa afande ONYANGO, amesema wanafanya hatua za marekebisho ya mashtaka ili iwe " mashtaka dhidi ya kujaribu kuua "
My Take: hivi hawa waendesha mashtaka ni kwanini wanapenda kuweka mianya ya kuwaachilia huru watuhumiwa hata kwenye makosa ya wazi. Hii nimeiona sana hapa Tanzania mfano ni katika kesi ya AFANDE Zombe dhidi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini waliodhaniwa kuwa ni maiambazi, kesi nyingine ni ile ya yule MH Ditopile kuua dereva kwa bastola!
Wakuu huyu housegirl shetani hakuwa na nia ya utesaji bali kuua hivyo mashtaka sahihi ni "dhidi ya kujaribu kuua" nadhani woooote mtaniunga mkono!