Sakata la mishahara ya walimu kupanda lachukua sura mpya,serikali yasema haya hapa

Kwenye gazeti la Mawio ukurasa wa mbele imeandikwa gari la polisi lenye namba T 117... Ninavyo fahamu hakuna namba za magari ya polisi yenye namba T bali kuna PT.... na kwa jeshi la wananchi ni JW. Sasa la T 11.. nadhani sio la polisi. Hata ndani ya maandishi kote kwenye gazeti la Mawio limeandika ni T 11.... na sio PT.

Ni rahisi kujua ni sio ukweli, pia ni vigumu kuamini ya kuwa ni ukweli kwa yaliyoandikwa humo.
Mnisamehe kama nimekosea, ila napenda amani na upendo, sipendi chuki.
 
mbona kuna magari ya Polisi pia huwa tunayaona mitaani yana namba za kiraia tu hasa yale ya wale askari wanaovaa kiraia
 
kwanini hadi leo mishahala haija toka ya walimu dar

  • :sick:

  • :angry:
    • A%20S%208.gif 
Kwenye gazeti la Mawio ukurasa wa mbele imeandikwa gari la polisi lenye namba T 117... Ninavyo fahamu hakuna namba za magari ya polisi yenye namba T bali kuna PT.... na kwa jeshi la wananchi ni JW. Sasa la T 11.. nadhani sio la polisi. Hata ndani ya maandishi kote kwenye gazeti la Mawio limeandika ni T 11.... na sio PT.

Ni rahisi kujua ni sio ukweli, pia ni vigumu kuamini ya kuwa ni ukweli kwa yaliyoandikwa humo.
Mnisamehe kama nimekosea, ila napenda amani na upendo, sipendi chuki.

Hilo gari limekosa nini!?
 
huku tunaona magari yanaendeshwa na askari yakiwa yana namba za ajabu, nyingine ni tofauti mbele na nyuma, hata mengine hayana namba kabisa. Kwa hiyo usishangazwe na hilo
 
Aisee, wewe umekuwa mtabiri, endelea kutabiri utapata wateja wengi sana
 
Back
Top Bottom