Sakata la Million 300 Lawaka moto Voda, Kigoma all star wajieleza!

hii kali tena sana, kama mmeshang'amua kuwa kuna mbinu za kudhoofisha Upinzani zinatoka hukohuko Upinzani mm sipingi, tuombe Katiba iruhusu tugombee watu Binafsi
 
porojo na ujinga wa ukabila umejikita hapa! endeleeni na ukabila wenu hamtafanikiwa hata siku moja Rais atoke kaskazini,mna mtafutia Zitto kila baya ili mfanikishe malengo yenu ya udini na ukabira!
 
Propaganda@work.

Wanchadema ss tupige M4C mpaka kieleweke na tupuuze maneno maneno haya kwani ndio yanatuondoa kwenye lengo hasa la kuitoa CCM.

THINK BIG
 
sasa kama ni hivi nitashindwa kumuamini mtu yeyote ina maana uroho wa madaraka ndo unafanya watu wanashndwa kuwa wazalendo wa kupigania nchi kutoka kwa mafisadi mleta habari hizo updates tujue hao mafisi ili tujue cha kufanya ila mbinu zao zitafeli hakymungu naapiaa
 
Maskini kuna cku mtakuja kumgundua pandikizi kati yenu mtashangaa, mtatamani kumwangukia ZZK na mtakuwa mmechelewa, huyu kijana anajua nini anafanya ndio maana mbumbumbu wanampiga vita, mmeshindwa kujua uhusiano uliopo kati ya ADC na AMAD wa CCM B, Mnamuhusisha kijana wawatu. kama ni rangi mbona hata CUF wana blue, nyekundu na nyeupe? mnatafunana nakujua wenyewe bila kujua. TAFAKARI
 
kwa nchi ambazo zimeendelea ile kutajwa tu au kutiliwa mashaka inatosha wewe mwenyewe kujiondoa au wakuu wako kuku fire kupisha uchunguzi! Zitto amekuwa mhubiri mzuri sana wa accountability, sasa anathumiwa tena tuhuma nzito sana kwa nn asijiengue mwenyewe apishe uchunguzi huru??is he realy clean??
Mkuu hapo kwenye msimbazi..... sisi bado hatujafika huko............. hata hivyo kwa staili ya siasa zetu kwa jambo hili itabidi nusu ya bajeti yetu iende Tume ya uchaguzi maana itakuwa ni uchaguzi asubuhi.....uchaguzi jioni
 
lete habari ikikamilika nusu nusu inasumbua vichwa vyetu, serikali dhaifu imefanya vichwa vyetu viwe na kazi ya ziada..
 
u-rais unatakiwa kwa udi na uvumba, watu hawalali.
Ni uzalendo au wanataka kujineemesha na kuishi kifalme?
 
sijaelewa kinazungumziwa nini hapa sakata la miloni 300?kugombea uraisi 2015?kigoma all stars ahh labda ugeni unanisumbua nitasoma vizuri baadae
 
Back
Top Bottom