Elections 2010 Sakata la mauaji ya Dereva wa CCM Maswa na hatima ya Shibuda

Ndugu naona na wewe uko kwenye kampeni jinsi ulivyo present habari yako imekaa kishabiki kwa kuchukuwa upande mmoja tu wa maoni yaani shibuda -- kwa kuwa umewahi kuendesha vipindi vya televisheni haswa vya kukalisha wagombea na wanasiasa mbalimbali nilidhani unauzoefu wa kuchukuwa habari na maoni pande zote mbili -- umechukuwa moja ukaja kuweka hapa

Shy ameanza mambo yake tena; alikuwa kaanza kupata nafuu siku za hivi karibuni.
 
Shy pls read the post between its line, part of it reads:

Kwa vile Shibuda ni interested party, upande wake wa story lazima upatiwe balance ya upande wa pili wa CCM na hatimaye kuthibitishwa na authorities za Jeshi la polisi.

Naendelea kufuatilia upande wa pili na uthibitisho wa polisi, pia nafanya juhudi za kumtafuta mpiganaji Fredirick Katulanda ambaye siku zote husimama wima bila kuegemea upande wowote.


Unataka huyu ndugu abalance vip uandishi wake?

Ndugu yangu we ni mgeni wa huyol jamaa? huwa aha appreciate mchango wa mtu yoyote, na ndo maana unaona hajampa hata mtu mmoja thanx, yeye akiona habari ni nzuri anaichukua na kuibadiilisha jina as if yeye ndio aliyeandika na kuiweka kwenye mitandano mingine
 
Shy vipi Mkuu?

Ndiyo yale ya MWEZI BADO MCHANGA sijui?

Kuna wengine ingawa ni Wanaume, wanakuwa kama wanapaa na APOLO.
 
Ndugu naona na wewe uko kwenye kampeni jinsi ulivyo present habari yako imekaa kishabiki kwa kuchukuwa upande mmoja tu wa maoni yaani shibuda -- kwa kuwa umewahi kuendesha vipindi vya televisheni haswa vya kukalisha wagombea na wanasiasa mbalimbali nilidhani unauzoefu wa kuchukuwa habari na maoni pande zote mbili -- umechukuwa moja ukaja kuweka hapa
Mbona amelitolea ufafanuzi katika story yake? Shy na wewe bwana?!
 
hali ya ccm ni mbaya sana na sasa wameamua kutumia kila aina ya vituko baada ya kutangaziwa mikoa nane ambayo itatoa mwelekeo wa nani kuwa rais shinyanga ukiwa mmoja wapo,hii dhambi ya kuchochoe ghasia wakati wakijua watu wamewachoka itawatokea puani
 
Afadhali hiyo kura moja ya ccm imepungua. Mungu hamtupi mja wake

Baina,
Statement kama hizi ni hatari kwa mustakabali wa umoja wa kitaifa. Tukifika mahali pa kuamini tunaweza kupunguza kura za wapinzani wetu kwa vifo, tutakuwa tunaanda genocide nyingine EA.
 
Baba ninaiombea tanzania. Ninaomba kinyume na kila hila na kila udhalimu unaojitokeza kwa sabau iwayo yoyote. Tunafunga roho za umwagaji damu katika nchi hii.
Kila hila tunaifunga katika jina la yesu. Kila lililofichika na liwe nuruni sasa. Tunakemea roho za ulafi wa madaraka na kila mpango mbovu wa shetani.
Tunaurudisha kuzimu katika jina yesu.
Tunaitamkia tanzania amani.
 
hey you...confirm that my phone has a prb...heeee...nkiki?

Whats good Preta? Will do the confirmation after sunday lol! Nw its all politics...tchaa! scary politics...
 
‎"dereva aliekuwa anaendesha gari la kampeni la ccm kuuawa na wafuasi wa chadema.".


umethibitishaje kuwa waliomuua ni wafuasi wa chadema?
Washabiki wa siasa ni wengi, what if aliyemuua ni mfuasi wa chama kingine au mwana ccm mwenzake waliokuwa na ugomvi binafsi?
 
Whats good Preta? Will do the confirmation after sunday lol! Nw its all politics...tchaa! scary politics...

missed you wakwetu....uliendaga wapi?...welcome back anyway......habari za huko ulikokuwa...after 31st oct utanipa habari yote....for now lets go with the rhythm
 
@ wakwetu keep dancing with it....otherwise consult WOS's signature (u knw wat I mean). Thanks though

Siasa bana, kama maigizo vile.
 
Bht,, ulienda kugombea ubunge nini?

Karibu tena uwanjani maana wewe na Balatanda wote mlipotea kwa Mpigo.

Hata Kifo cha Mayoni Mayaula hakuandika kitu na yeye ni Mpenzi mkubwa sana.

Huo ni msemo wa zamani sana. Sijui kama siku hizi wanatumia hivyo maana vijana sasa hawana TABU tena, wanaenda na maneno mazimamazima hivyohivyo yalivyo.
Sikonge bana, imenichukua dk kudigest hii post...
 
sikonge imebidi nicheke aisee....siku hizi maneno yanatumika 'naked' tu.
Shem wee acha tu nilikumbwa na kimbunga bana, sijui kwa nn hukunitafuta.
Bala ako busy anatafuta dona la familia hajui hata kama Mayaula alirudisha namba
 
umethibitishaje kuwa waliomuua ni wafuasi wa chadema?
Washabiki wa siasa ni wengi, what if aliyemuua ni mfuasi wa chama kingine au mwana ccm mwenzake waliokuwa na ugomvi binafsi?

kama police wanajua kufanya investigation kweli kwa kuanzia tu ushahidi unatokea kwa TBC1 kuna mmoja wa wana CCM alimtaja jina huyo mtu wakati anahojiwa na alikuwa akiamlisha kuwa mpigeni dreva na sija elewa kwanini shibuda aitwe kwa ushahidi upi yaaani ukitaka kujua akiri ya police kuwa ni finyu kwenye investigation utaijua tuuu wanajua ukweli lakini wataupindisha kwanza. how Shibuda is first suspect ukiwauliza police watashindwa jibu hilo na ndio yale ya Arusha kule Police mpaka leo twasikia hawaja mfungulia Lema mashitaka kwani hawana ushahidi wowote nikufuata order kutoka kwa wakubwa zao.

Mbaya zaidi ukiuliza unaweza kuta ile gari sio ya CCM ni serikali nayo,

Kitu cha ajabu haya matukio yote ukiyaangalia unabaki kujiuliza haya magari yanakwenda wapi huko mpaka wanakutana kati ya CCM na CHADEMA na mashambulizi kutokea nani an aenda kwa anga za mwenzake?
 
CCM kwasasa ni wanachoka iliuwafanyie fujo..mfano leo jioni kwenye mida ya saa moja na dakika 20 nimeshuhudia wakimpiga mzee mmoja mpaka makondakita walipo amua kumsaidia kisa walipita na magari ya matangazo huku wakipiga mziki yule mzee akawaonyesha vindole viwili akimanisha Chadema ndipo walipo walipo shuka mabausa wawili na kuanza kumshambulia....Walipo fika maeneo ya anex sehemu ambayo Chadema walikuwa wana kikao, walinyofoa bendera ya chadema kutoka kwenye gari moja na na kuanza kukimbia nayo kabla haja kamatwa na kuanza kupewa kibano lakini alifanikiwa kucholopoka...je tutaepukana vipi na uchokozi huu wa CCM?
 
Asante Pasco kwa Taarifa, nataka Kujua ni Kwa nini Shibuda amekuwa arredted?

Nafikiri ni kwa sababu ya kumzuia asiendelee kufanya campaign na kumpatia mgombea wa CCM nafasi ya kumalizia gap. Polisi wamepewa amri ya kumshikilia Shibuda kwa kuwa alihama CCM. Ila katika hali ya kawaida Shibuda ni Innocent kwani hakuwa kwenye tukio la ugomvi so hakuna haja ya kumuweka chini ya ulinzi. Kitendo hiki kitaongeza provocation kwa wananchi.

Ingekuwa aliyeuwawa ni CHADEMA ungesikia wangesema kuwa wauaji si CCM kwani wao sera yao ni Amani hahahaha!. Ila CCM wajue kuwa Amani hailindi kwa mtutu wa bunduki bali ni psychology ya kuwaonesha wananchi kuwa haki inafuatwa na hakuna anayeonewa kwa itikadi yake wala kupendelewa kwa itikadi yake. Wakifanya hivyo watakuwa askari wazuri wa amani, Otherwise watakuwa ni kasuku tu wanaongea wasichokifahamu.
 
Back
Top Bottom