Kiongozi mbona unaweka unazi mbele Kama mpira ni mchezo wa kugusana xaxa faulo na penati zimewekwa za Nini lazima sheria za mchezo zifutweLile ni goli halali kwa maana halisi ya neno hilo. Mpira wa miguu ni mchezo wa kugusana na hakuna mchezaji hapo anayecheza na mama mkwe wake uwanjani, watu waache ushabik wa kijinga.
Mapungufu yoyote ya waamuzi ktk ligi hii kwenye mechi zinazohusu Yanga na Simba dhidi ya timu zingine lazima yazinufaishe tu hizo timu mbili na sio kinyume chake.
Mpira wa nchi hii utaendelea kurudi kinyume nyume kama treni ya Godegode.
Kama mgusano ungekuwa mkubwa Kapombe angewezaje kuruka juu? Kwako fair challenge ina maana gani? Mpole aliposema alimgusa Kapombe alikuwa sahihi maana soka si taarabu. Kama kila kugusana ni faulo basi faulo zitakuwa 600 kwenye mechi moja.Aliyebadili upepo ni mchezaji wa Geita baada ya kukiri alimgusa Kapombe
Siku ya mechi haikuonekana kama aliguswa, nadhani mpiga picha hakulinyaka lile tukio
Mpole alisema alimgusa Kapombe, hakuna aliposema alimsukuma.Hivi kinachozungumzwa ni kugusana au kusukumwa? Labda tuangalie hapo kwanza
Acha wehu. Goli halali halafu ikawaje hawakuweka mpira kati?Lile ni goli halali na Simba ili bebwa na ni kawaida kwa mpira wa Bongo. Leo Simba kesho Yanga. Hakuna mpira unaochezwa bila kugusana Ila Kapombe kajiongeza.
No, kwenye lile tukio hakusukumwa Shomari, ndio maana tunasema lilikuwa ni goli halali kabisa na wanaopinga ni ushabiki tu.Kiongozi mbona unaweka unazi mbele Kama mpira ni mchezo wa kugusana xaxa faulo na penati zimewekwa za Nini lazima sheria za mchezo zifutwe
Huyo mchezaji ana akili kubwa kuliko wewe ndo maana mpaka sasa hujui alimaanisha nini. Unaguswa mgongoni halafu unafanya exaggeration kwa kujirusha juu kama umechomwa kisu?Mchezaji husika Amekiri Kuwa alisukuma Lakini Kikawaida.
Acha uongo bwana, alisema alimgusa kidogo, hakutamka neno kusukuma.Mchezaji husika Amekiri Kuwa alisukuma Lakini Kikawaida.
Maoni ya akili ndogo.Acha wehu. Goli halali halafu ikawaje hawakuweka mpira kati?
Mimi ni mshabiki wa mpira, napenda mpira lakini nakiri sina utaalamu au elimu ya mpira kwangu lile ni goli halali kabisa.Iwapo Kamati ya Maamuzi Ingekaa mara tu baada Ya Dk 90 za mtanange Wa Simba na Geita, huyu Refarii Uwezekano mkubwa Asingepona kufungiwa. Martin Saanya Sasa ni Kama amesafishwa na Upepo umebadilika.
Kwamba alitoa maamuzi sahihi. Faulo ya Geita halali.!
Japo Wachambuzi wengi Wanaitwa Wachambuzi 'Uchwara' na Wakati mwingine Wameitwa takataka..!
Nguvu Ya Wachambuzi imeoneonekana kwenye kipute hicho, Wamepindua Upepo na Refa huyu anaweza Kuonekana heroes huku Wengine wakionekana Wanadandia taaluma zisizo wahusu ambazo hawana Utaalamu nazo.
Ndo hivyo tu... Kamati zinazohusika zitoe ufafanuzi Mapema kabla Watu hawajatiana Vidole vya Macho.
Kama Wewe umekiri Sio Mtaalamu sasa ndo Wasikilize wataalamu kinyume chake wewe Mbishi.Mimi ni mshabiki wa mpira, napenda mpira lakini nakiri sina utaalamu au elimu ya mpira kwangu lile ni goli halali kabisa.
Kama amehongwa Je . Kitu kinaonekana waziMchezaji husika Amekiri Kuwa alisukuma Lakini Kikawaida.
Ni kweli goli halali kabiLile ni goli halali. Kinachofanyika kwa hao wachambuzi ni njaa zao tu waende wakachambue mboga
Ukiondoa azam na ufm ambao walileta hadi aliyekuwa mwamuzi mwenye beji ya fifa wengi walichambua kuegemea mapenzi yaoIwapo Kamati ya Maamuzi Ingekaa mara tu baada Ya Dk 90 za mtanange Wa Simba na Geita, huyu Refarii Uwezekano mkubwa Asingepona kufungiwa. Martin Saanya Sasa ni Kama amesafishwa na Upepo umebadilika.
Kwamba alitoa maamuzi sahihi. Faulo ya Geita halali.!
Japo Wachambuzi wengi Wanaitwa Wachambuzi 'Uchwara' na Wakati mwingine Wameitwa takataka..!
Nguvu Ya Wachambuzi imeoneonekana kwenye kipute hicho, Wamepindua Upepo na Refa huyu anaweza Kuonekana heroes huku Wengine wakionekana Wanadandia taaluma zisizo wahusu ambazo hawana Utaalamu nazo.
Ndo hivyo tu... Kamati zinazohusika zitoe ufafanuzi Mapema kabla Watu hawajatiana Vidole vya Macho.