Sakata la Mapesa yaliyofichwa Uswisi: Wamo vigogo wawili wastaafu

CCM ni chama makini na kinasimamia haki kwa watanzania wote. Pesa hiyo itarudi na wahusika tutawapeleka mahakamani. Mimi ni mwenyekiti.
 
wezi hawawezi kuchunguza wezi wengine. viongozi walioko sasa ninmarafiki wakubwa wa hao wengine na pengine wao ndio waliowaingiza na kuwafikisha hapo waliopo kwahiyo kutegemea viongozi wa namna hiyo watachukua ni sawa na kumuuliza panya kwenda kumfunga paka kengele good luck with that.
 
Mm nashukuru mgomo wa madaktari umeisha sasa hizo hela za nje tutajieni kina nani km ni wale wa gasi ambayo haijachimbwa kuwanyang'anya inawezekana lakini fedha za chenji ya chenge ilikua ndogo ila imeshaliwa
 
Mimi namfikiria zaidi ndugu Edward Lowassa, waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
mmh!!wala EL hausiki na ha hili.hivyo vijisent billion 315 vilivyoko huko uswis ni vyangu mimi na mrishirika wangu wa kibiashara....:redface:
 
CCM ni chama makini na kinasimamia haki kwa watanzania wote. Pesa hiyo itarudi na wahusika tutawapeleka mahakamani. Mimi ni mwenyekiti.

umakini upi wewe gamba??mlishawai kumpeleka nani mahakamani na kumshitaki hata miaka miwili jela?? Kamwe hamuwezi kutudanganya tena mak ima nyie
 
umakini upi wewe gamba??mlishawai kumpeleka nani mahakamani na kumshitaki hata miaka miwili jela?? Kamwe hamuwezi kutudanganya tena mak ima nyie

CCM ni chama dume na pia ni chama imara. Hakuna chadema wala baba yake chadema. Pigeni longolongo CCM tunasonga mbele. Wananchi bado wana imani kubwa sana na sisi, tutaendelea kutawala hadi milele. Chadema hakifai kuwa chama cha siasa, bali kinafaa kuwa NGO. (Nothing Going On) zaidi ya kupoteza muda na wakati. CCM oyeeeereeeeeeee.
 
kama wewe ni mwanaruvuma mwenzangu nimegundua jambo,wewe ni mmoja ya mamia ya Wanaruvuma wanaofunya mkoa huo kuwa nyuma kimaendeleo kwa kuendelea kushabikia magamba miaka nenda miaka rudi.kwa hili bambo you have been left very behind with unavoidable changes.kwali wa mwene.:israel:
 
Piga ua hatuwataji ng'o, liwe na liwalo. Kwani EPA sisi ndio tuliwatajia, ebo!

Wasalaam, ST.
 
Mpaka sasa nimefanikiwa kupata majina ya baadhi ya wahusika wanaotajwatajwa sana kutoka chanzo cha ndani ambao ni: BWM, SUMAYE, CHENGE, MRAMBA
 
Pia katika sakata hilo la rada ilibainika kuwa aliyepata kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Andrew Chenge, alihifadhi takriban Sh. bilioni moja katika visiwa vya Jersey nchini Uingereza katika moja ya benki katika kisiwa hicho.

Asante.
 
Sidhan kama hayo majina yatakuja,mana zilikofichwa kwenyewe ndo wanasifika kwa kusitiri wateja wao duniani,hilo ukijumlisha na kutokamatika kwao hapa nyumbani, ishu itaisha kimya kimya

"Tumekubaliana warudishe pesa maana hawakamatiki ukiwakamata nchi itayumba
" Hiyo ni kaul ya Kikwete akilihutubia bunge kuhusu wizi wa fedha za umma kupitia akaunti ya EPA.
 
Back
Top Bottom