Sakata la Makontena ya Mchanga: Wamiliki wa Makotena waongea na Wanahabari, wadai wanapata hasara

Eti we dare to speak openly nani kasema huwa naona taarifa nyingine huwa mnakurupuka tu based on Upinzani hata kama yatafanyika mambo ya msingi basi humu wanaponda

Usikimbie hoja !

Nadhani sasa umeelewa kuwa Hans Pope ni mdau wa Biashara ya usafirishaji wa Mchanga wa Madini, ulikurupuka kukaririri kuwa Ikiwa Hans anafanya Biashara ya usafirishaji wa Malori hawezi kufanya na issue zingine!

Kajifunze ujue taratibu za kufanya ammendments za Mikataba sio kwny Mikutano ya hadhara!

Kama Mkataba uliruhusu Mchanga kusafirishwa nje zipo taratibu za kubadili Hali hiyo, sio kukurupuka kwa kigezo cha Maslahi ya Nchi.

Tushalipa gharama za namna hiyo ya Mikurupuko ya Watu Kama Nyie kwny Mikataba ya Umeme
 
Usikimbie hoja !

Nadhani sasa umeelewa kuwa Hans Pope ni mdau wa Biashara ya usafirishaji wa Mchanga wa Madini, ulikurupuka kukaririri kuwa Ikiwa Hans anafanya Biashara ya usafirishaji wa Malori hawezi kufanya na issue zingine!
Wewe ndio haujaelewa hapo issue ilioletwa hapo hao wachimba madini wadogo wadogo wameongea kilichowapeleka sasa wewe kujifanya unajua zaidi na kimbelembele na kutaka kutafuta umaarufu wa mavi ambao ni kunuka umemtaja Hans Pope kama ulitaka watu wajue mbona biashara zake zinafahamika ila watu wamekaa kimya wanaangalia mchezo nyuma ya pazia.
 
Ndio nikakufundisha kuwa hata kwny Maigizo ya Sinema kuna 'Behind the scene'.

Movie ikiwa inaendelea wapo wanaojadili wanachokiona kwny Movie na wapo wanaojadili actions za waliotengeneza hiyo Movie.

Wewe upo kwny Kundi la wanaojadili movie Inayoendelea, usikerekwe kuona wengine tunajadili 'behind the scene' ya hiyo Movie!

Ingekuwa huo Mjadala upo kwny page yako ya Facebook ingekuwa Poa ukikereka lakin hapa kila Mtu anaweza kujadili Jambo kwa perspective yake sio lazima kila comment ikuhusu au uielewe!
 
Anasema yeye ni machinga. Kwa siku moja anapata faida ya sh 4 million na kodi ya serikali inayolingana na kipato hicho halipi. Hawa ni wa kuwekwa lock up tu kwa kosa la kukwepa kodi.
 
Hans Zakaria Pope alikuwa ni Mmoja wa Wafadhili wa Timu ya Kampeni ya Mgombea mmoja wa Rais ajitafakari sana hata Kama kasimamia kwny haki maana pia waliwahi kuzozana na aliekuwa na Waziri wa Ujenzi wakat wa Jk kwny Mzozo wa wenye Malori!

Waziri huyo Sasa hivi ndie Mwenye Mbwa kwa sasa

Huyo Hans Pope kamshindwa Nyerere ndugu yangu. Huyo siyo mtu wa mchezo mchezo.
 
Tuliza Mshono usijefumuka na Baridi hii!

Kaulize Wakubwa zako Hans Pope ni Nani kwny Makontena ya Mchanga wa dhahabu!

Hilo la Malori ni kuweka tu sawa Historia sawa ya Mahusiano Yao ya Kikazi Kati ya Hans na JPM
Kwa hiyo hapo wanalalamikia makonteina ya mchanga wa dhahabu!
 
Rais ametoa tamko kuzuia kusafirisha mchanga nje ya nchi haijalishi unalipa Kodi au haulipi unalipa Kodi au haulipi hapa issue ni Kutosafirisha mchanga nje ya nchi wa madini.

Hakuna cha mzalishaji mkubwa au mdogo tena wewe mdogo halafu unatusafirishia mchanga nje ya nchi unatupa maswali mengi sana.

Hii sekta ya Madini kuna mambo mengi sana yamefichwa ambayo ndiyo yanaleta maswali mengi kwa Rais.

Ila kwa sasa No mchanga kupelekwa Nje ya nchi
 
Naiona hasara kubwa sana ambayo hatutakuja kuisahau kiurahisi kama samaki wa kipindi cha JK waliosababishwa na huyu huyu jamaa, hasara atayotuletea safari hii kila mtu atalia kilio cha kusaga meno
Unachagia nini kwenye uchumi wa nchi hii wakati upo JF muda wote!!
 
Unachagia nini kwenye uchumi wa nchi hii wakati upo JF muda wote!!
Ukweli mweupeeee kuwa hawa wachimbaji hawana faida Tanzania. Ni vema wakafukuzwa na wasichimbe hata kichuguu. Wapo huku kwa faida yao tu. Tanzania hakuna hata senti.

Huyu Mh. Rais ni mzalendo wa kweli.
 
Vyombo vya habari vya Tanzania Mungu anawaona! Hawa jamaa habari yao hata ukurasa Wa pili hawakupata nafasi hadi leo!
 
Back
Top Bottom