124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,802
- 5,494
Mkuu umezoea movie za uongo ini?hebu enjoy tamthilia la ukweli lenye wasanii wa ukweli si sehemu ya kufikirika bali nchi halisi ikihusisha viongozi halisi!Takwimu zimepikwa
Sasa wewe umeangalia makontena mwaka 2017,
Unaweka majumuisho ya jumla eti kwa kuwa 2017 tumekuta hasara hii,basi tuweke assumption kwamba ulikuwa unafanya hivyo kila Siku
Yaani kama umeiba ngombe mmoja mwaka 2017,basi tunasema kila mwaka ulikuwa unaiba ngombe mmoja,
Ushahidi wa kwamba makinikia ya mwaka 2016,2015,2014,2013,2012,2011,2010 mpaka 1998 jamaa walikuwa wanafanya kosa lilelile na kwa kiwango kilekile bila kukosea wala kuzidi wala kupungua,je tuna evidence za makontena ya mwaka 1998,1999,2000,2001,2002......mpaka 2016?
Nani alichukua sample za mwaka 1998?1999?2000?
Unatumia sample ya 2017 kutoa hukumu kwa suala la 1998,2010.....
Exchange rate zilikwaje?thamani ya Dhahabu ilikuwaje?
Tunafanyiwa usanii
Makinikia ni best drama ever!