Sakata la makali ya mgao wa umeme-mfichaficha maradhi kilio kitamfichua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la makali ya mgao wa umeme-mfichaficha maradhi kilio kitamfichua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtu wa Mungu, Jul 18, 2011.

 1. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Utakuwa muujiza wa kipekee kama tatizo la umeme lililodumu zaidi ya miaka 6 litatatuliwa kwa wiki tatu!!!!!!!!!!!!!!!
  Watalindana lakini hatimaye kilio kitawafichua tu!!!!!!!!!!!!!!
  ****** na ngeleja wake ni wazao wa Rostam; wanangoja nini wakati mzizi umekwisha ng'oka???????????
   
 2. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ngeleja amening'inizwa au kwa wale wakristo/wakristu ni kwamba ameangikwa msalabani. Hivi yule katibu mkuu bado anapumua au amesafirishwa nje kutibiwa? kama Ngeleaja hata jiuzulu hata kwa hili basi jamaa atakuwa na roho ngumu
   
Loading...