Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

Siamini katika kauli ya 'wasiojulikana'. Ninaamini wanajulikana ila mbele yetu wanatuambia hawajulikani
 
Kila taasisi ni hofu tele zimejaa

Watu hawajiamini tena nakumbuka enzi za John Mhavile (R.I.P.)..

Leo wameibuka wengine na zama zao ....

Ata Mkutano ukiwa Magogoni huoni wa kumuuliza Mkuu maswali...

Wanahabari nao wamejawa na hofu..

Magazeti yanafungiwa kwa kuwa na habari za mlengo flani...
 
Nimekuwa nasema kila siku hapa kwamba mali nyingi zinazopita ufukweni pale hazilipi kifuta jasho kama inavyopaswa,

Magari hayo ya Bwana Edigaran Masako wa ofisi ya makusanyo kifuta Jasho (OMKJ) samora , anajulikana hivyo kwasababu kashastaafu kitambo lakini, kuna na mashine nyingi zimepita maeneo yale kwa kukikwepa kifuta jasho,

Nimefanya kazi Ufukweni hapo kabla sijaipa kisogo Tanzania tokea mwaka 2003 hadi 2011 msisumbuke sana , yote hiyo mnaangaika kisa mmeimaliza meno jamii forums na kupandikiza mange vimambi wengi , Huwez amini kina mzee wa kudadavua, mchambuzi, BAK au bakili muluzi siku hizi ni kama wamebanwa hawana cha kusema kwa sababu ya uoga , Hayo ndo mambo ambayo Jf ilipaswa kuweka wazi, Muda huu mada ni nani anapaswa kutangulia kufika kati ya mama Samia au Makonda, mada ni flash ya gwajima anayo makonda , hatuwezi kufika kwa fikra za namna hii

Usiku mwema unajua Vodka ya Urusi imefanya nitoboe siri hii weekend hii inaleta mzuka

Britanicca
Unaandika kama unakatika mauno kitu akieleweki wala akivutii msomaji azidi kusoma upuuzii mtupu
 
Back
Top Bottom