Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Tusizime moto kwa presha au kutafuta umaarufu kwa matatizo yaliyotengenezwa na serikali yenyewe.
Shida ni mfumo wa monopoly wa tenda kupeana kwa kujuana na uchama ndio umetufikisha hapa.
Monopoly ya kuwafanya wachache ndio waagizaji na wasambazaji wa bidhaa adimu kama hizo zinazoathiri taifa.
Kama kungekuwa na soko huria hata bei zingepungua shida ndani ya hizo tenda kuwa wakubwa ndani ya chama na chama ndio mtaji wake ulipo hawataki raia wa kawaida kuwa na nafasi sawa ya kuingiza bidhaa kwa mambo feki eti kulinda soko la ndani.
Soko lipi wanalolinda la kuwaumiza wananchi kwa vei za ajabu.
Inakuwaje mzigo unatoka Malalesia au brazil na kuapanda meli na kodi juu unakuwa na bei nafuuu kuliko bidhaa ya kigoma na singida au ya mtibwa na kilombero?
Hii nchi ishawashinda hawa mabwana.
Kipindu kile walisaka sukari na makamera walijuja na nini kipya je bei ilishuka toka 3000 -5000 kuja 1600 iliyokuwepo?
Hata haya mafuta hayatashuka bei.
Sera mbovu za ccm za kuwamilikisha wachache dhamana ndio chanzo cha matatizo yote