Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,305
- 12,968
Naye aunganishwe tu kwa naana ya uwajibikaji wa pamoja katika mabaraza ya mawaziri ya watangulizi wakeNa Magu pia si alikuwa senior minister na alikuwa kimya.
Naye aunganishwe tu kwa naana ya uwajibikaji wa pamoja katika mabaraza ya mawaziri ya watangulizi wakeNa Magu pia si alikuwa senior minister na alikuwa kimya.
Lissu amekua mropokaji sana,mwanasheria aliesoma sheria anaeifahamu katiba yetu vizuri hawezi ongea upuuzi wa aina yake
Safi sana !Anapenya hadi kwenye Tundu la sindano eti?.
Naunga mkono hoja.Rais wa awamu ya tatu na ya nne ya uongozi wanapaswa kuwajibishwa kwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.Hili suala Jenerali Ulimwengu alishalizungumzia sana ila alionekana mshamba sana.
Ipo haja ya kubadili Katiba kwakuwa ndiyo inachangia mianya mingi ya haya Makosa.
Ndio nyie nyie ... ukweli mchunguLissu amekua mropokaji sana,mwanasheria aliesoma sheria anaeifahamu katiba yetu vizuri hawezi ongea upuuzi wa aina yake
Ha ha ha! Hajafukua makaburi bali kawaamsha wafukua makaburi wakafukue na wanafukua.Magu kaliamsha Dude!!!!
wewe ndiye mropokaji na hujui unachokiongea! sheria ikisema haibadilishwi? Kwa maoni yako unamaanisha kwa kuwa pia sheria inawaruhusu hawa wezi Wa madini kufanya wanayoyafanya basi tuwaache wafanye na tusirekebishe vifungu! poor you
Na huu ndiyo ukweli mtupu.Ukweli ni kwamba hakuna kati ya hao vigogo watakaofunguliwa mashitaka.
Si Kikwete...si Lowassa...si Mkapa.
Kilichopo hapa ni kelele za kisiasa tu.
kumbe na wafu pia wanawakilishwa!..utaniHapo lazima mh Ndugai amtafutie kosa ili asimamishwe kuhudhuria vikao.Halafu akija uswazi Mkulu amshughulikie!
Wakati Chenge anadunda mtaani huku akiendelea kuongoza vikao vya Bunge!!Only in Tanzania where the line between law makers and law breakers is almost invisible.
Kwake nyekundu ni nyekundu!Tatizo lake kauli za kukata maini!Lissu kiboko ya wajinga nchi hii
Hapo umenena!Ukweli ni kwamba hakuna kati ya hao vigogo watakaofunguliwa mashitaka.
Si Kikwete...si Lowassa...si Mkapa.
Kilichopo hapa ni kelele za kisiasa tu.
Tundu sasa anatuchanganya, ripoti inazungumzia mikataba ya kuanzia 1998 sheria zilipochezewa sidhani kama JK alikuwa waziri was Madini wakati wa MkapaTundu Lissu wakati akichangia bajeti amesema Rais mstaafu awamu ya nne Jakaya Kikwete ashitakiwe sababu ndo alisaini Leseni ya Bulyanhulu
Tundu Lissu asema Rais Kikwete naye anapaswa kuwajibishwa kwani ndiye aliyesaini leseni ya mgodi wa Bulyanhulu akiwa waziri.
Sizonje ndiyo nani
Walisain mkataba up mkuu??Lowasa na Sumaye wanaponaje??
Onesha mkataba wakiosaini kama hauna acha kupayukaLowasa na Sumaye wanaponaje??
lowasa na sumaye hakuna sehemu/mkataba wa madini waliosainiLowasa na Sumaye wanaponaje??