Sakata la madawa ya kulevya: Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu mbona kimya?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Si lazima aongee lakini kwa jinsi swala hili lilivyo mpaka hivi sasa,najiuliza ni kwanini mh.huyu ameamua kuchukua low profile?

Anyway,inawezekana ana sababu zake au analifuatilia kimyakimya na wakati ukifika atatoa kauli.
 
Unaonae? Kuna tetesi Makonda anapigia jaramba hiyo nafasi. Waziri hayuko happy na jinsi huyu bwana mdogo amekuwa anaingilia kazi za wengine, bila kuwapa taarifa! Matokeo yake anaoneka hafanyi kazi! Madawa ya Kulevya ni jambo mtambuka. Mkuu wa mkoa hawezi kukaa peke yake na kulikabili jambo kubwa kama hili ambalo ni la kitsifa. Alipaswa kukaa na wenzske, na kumhusisha kwa karibu kabisa waziri wa mambo ya ndani ili wajue namna bora zaidi ya kulikabili hili swala kitaifa.
 
Mwigulu sijui amekuwa jee awamu hii ya tano, hasomeki kabisa yaan, makonda kugeuka kuwa waziri wa mambo ya ndani wakati yeye ni mkuu wa mkoa tuu sijui hiki kiherehere chake kitaisha lini, badala ya Kuongea mambo ya kwenye mkoa wake anaongelea mambo ya kitaifa
 
Anacheka kuona Mkuu wa Mkoa Makonda anavyoingilia majukumu yake anavyotafuta sifa za kupambana na wauzaji wakubwa wa dawa ya kulevya. Waziri husika anaangalia movie inavyotengenezwa Makonda amesema amejitolea hata kupoteza maisha ndo maana ameanza kuwataja akina Chid Benz, TID na Wema Sepetu .....Mange Kinambi huwa anawataja hao wahusika kila siku lakini hawafutiliwi kabisa majina na listi yote ipo Ikulu.
 
Anatafuta sifa mwacheni tuone mwisho wake hao wasanii akina Chid Benz
Mwigulu sijui amekuwa jee awamu hii ya tano, hasomeki kabisa yaan, makonda kugeuka kuwa waziri wa mambo ya ndani wakati yeye ni mkuu wa mkoa tuu sijui hiki kiherehere chake kitaisha lini, badala ya Kuongea mambo ya kwenye mkoa wake anaongelea mambo ya kitaifa
 
Mwigulu sijui amekuwa jee awamu hii ya tano, hasomeki kabisa yaan, makonda kugeuka kuwa waziri wa mambo ya ndani wakati yeye ni mkuu wa mkoa tuu sijui hiki kiherehere chake kitaisha lini, badala ya Kuongea mambo ya kwenye mkoa wake anaongelea mambo ya kitaifa
RC wa Dar ni boss wa mawaziri wote isipokuwa wale waliohamia Dodoma elewa hivyo kiutawala si kisiasa.
 
Ngoma ya mtoto aikeshi unamwacha tu acheze atalala huu mziki alishindwa mkuu wa kaya wa kipindi hicho ndio itakuwa
 
Mwigulu Nchemba anajua Kuwa ule mziki sio wa kitoto
Pia inawezekana siyo priority ya serikali kwa sasa. Ngoja kwanza wawafilisi na kuweka ndani wapinzani zaidi. Ngoja kwanza waendelee kuwalinda majangili wa meno ya tembo. Ngoja kwanza washughulike na wachochezi (kama mimi na wewe tunavyoweza kudhaniwa kuwa) na hao waoweza kuandamana wakati wowote.

Initiative ya Makonda ni nzuri imeshambulia vidagaa wakati JPJM ana access ya majina ya wahusika wakuu. Ila si unajua kuwa madrug dealers si watu wadogo "wanaweza kuitetemesha nchi. Kwa hiyo MN anaweza kuwa kuwa nangojea executive ordee toka kwa mamlaka ya uteuzi.
 
Zamani tulikuwa na Siasa ni Kilimo; kwa sasa siasa ni madawa ya kulevya. Mimi naamini Ikulu wana siri fulani na wanafanyia kazi kisiasa.

Somo.

Siasa siyo lazima kwenye vyama vya siasa. Zamani enzi za mwalimu tulifundishwa siasa ni njia isiyo ya mabavu ya kufanikisha jambo.

Kwa hili ilimradi polisi(mabavu) wamo natumaini "wanasiasa(akili)" nao watakuwa na mkakati wao.

Kinachoniacha hoi ni wenzetu wa imani(dini) wanaotulea kiroho wanasema maadili yametoweka. Tafsiri rahisi wasema wao wameshindwa kutoa mchango wao kiroho kwenye hili.

Naamini dola(dola) siasa(akili) na imani(dini) vyote kwa pamoja vinahitajika na vinajihitajo kwenye hili jambo.
 
Unaonae? Kuna tetesi Makonda anapigia jaramba hiyo nafasi. Waziri hayuko happy na jinsi huyu bwana mdogo amekuwa anaingilia kazi za wengine, bila kuwapa taarifa! Matokeo yake anaoneka hafanyi kazi! Madawa ya Kulevya ni jambo mtambuka. Mkuu wa mkoa hawezi kukaa peke yake na kulikabili jambo kubwa kama hili ambalo ni la kitsifa. Alipaswa kukaa na wenzske, na kumhusisha kwa karibu kabisa waziri wa mambo ya ndani ili wajue namna bora zaidi ya kulikabili hili swala kitaifa.
Watanzania tuna matatizo sana.Makonda kutimiza wajibu wake imekuwa anaitaka nafasi ya uwaziri wa mambo ya ndani?
 
Back
Top Bottom