Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo tarehe 22/04/2016,zabuni ilitangazwa September 22,mwaka 2011 na mkataba kusainiwa Septembe 23,mwaka huo huo.
Pia taarifa ya Polisi inaonyesha gharama za mkataba ni shilingi bilioni 37,163,940,127.7 wakati taarifa ya CAG inaonyesha gharama za mkataba ni shilingi bilioni 37,742,913,007 ikiwa ni tofauti ya zaidi ya shilingi milioni 500.
Kwa upande mwingine, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani,bwana Rwegasira na Naibu IGP,bwana Kaniki walishindwa kutoa maelezo ni wapi zilizopo hizo zaidi ya shilingi milioni 500!
Chanzo:Mtanzani online
Jamaa yetu kimya!!!