Sakata la kuzuia misaada kwa Tanzania: Finland yasema haitaiiga Denmark

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
21,705
39,412
Waziri wa mambo ya nje wa Finland amesema Finland haitafuata mkumbo wa Denmark kuondoa msaada kwa Tanzania kwa sababu za msimamo wa serikali juu ya ushoga. Kwa kifupi amesema:
1. Watanzania wengi wanaishi kwenye lindi la ufukara hivyo kuzuia misaada kutawaathiri
2. Amesema wanayachukulia matamshi ya Makonda kama ''populist politician campain'' na sio msimamo wa serikali na wananchi wengi wa Tanzania. Amesema anadhani ni ''project binafsi ya Makonda'' ambayo itaisha nguvu yenyewe.

Habari kamili ni hii:
Finland will not be following Denmark’s lead in withholding aid money from Tanzania after the governor of Dar-es-Salaam Paul Makonda called for residents to denounce gay people to the authorities so they could be detained. Homosexual acts are illegal in Tanzania, and sentences can range up to thirty years in prison.

Even so, Finland will not stop sending aid money to the country, which is scheduled to receive some 52 million euros between 2016 and 2019.

“When there is this kind of concerning situation in Tanzania it isn’t any kind of ‘business as usual’ situation for us,” said Theresa Zitting of the ministry’s Africa desk. “But we don’t feel that we want to touch development spending right now.”

Denmark leads way
Denmark announced on Thursday that it was cutting aid spending in Tanzania after homophobic comments by Makonda. On the same day the World Bank said it was cancelling a planned 300 million USD loan as a result of the comments.

Zitting says that Finland is concerned about human rights in the country. She says that Finland’s goal is to deepend and broaden co-operation there to try and improve the human rights situation, but adds that some 25 million people in Tanzania--40 percent of the population--live in extreme poverty and any cuts in aid spending would hurt them.

Zitting said that Finnish aid spending is focused on increasing employment in the forest products sector, governmental reform, tax collection and women’s participation in politics.

Pregnant girls pulled out of school
Zitting regards Makonda’s comments as one populist politician’s campaign, which is already showing signs of subsiding. The Tanzanian government has not shown any signs of joining the rhetoric, according to Zitting.

“Thankfully Makonda has not gained the support of large sectors of the population,” said Zitting. “Of course we hope that it will remain his own personal project that will wither away.”

In addition to homophobic posturing, Tanzania has also stopped pregnant girls from attending school. Tanzanian president John Magufuli has even said that girls should not be allowed to return to school after they’ve given birth.

Zitting says Tanzanians have tried to explain that they provide schooling in some other way for these girls.

“That doesn’t reassure us that much and we’ll keep an eye on this in the future,” said Zitting.

Human Rights Watch, opposition parties and the EU have long criticised the Magafuli administration. The EU withdrew its ambassador to Tanzania earlier in the month.
Finland not withholding aid from Tanzania over homophobia
 
Makonda ni mzigo.Sema tu hawa wazungu wametuzidi busara na akili.

Benki ya Dunia inahurumia watoto wanaopata mimba alafu sisi wenyewe tunawahukumu!!

Finland wanampuuza Makonda ili waendelee kutusaidia!!

Ni wazi hata hawa wazungu huyu Makonda wameshamuona ni tatizo na wanajua kabisa watu wengi wako against nae isipokuwa mkulu tu.

Aibu sana hii!!

Tunayumba kwasababu tu ya watu wachache ambao sio civilised.
 
"Reap What You Sow"

We hear you crying
So bitterly
Trying to get people to help you ye ye
But nobody will
Your son was brutalizing people everytime.
But you said nothing
Now it's the time to pay the price
It's time to pay ye ye ye ye

[Chorus:]
You gonna reap just what you sow [x4]

Coming back home
With stolen things
Instead of telling him
How wrong he was
You told him how clever he was
People coming out of burning houses
It's your son Driving stolen cars every time
It's your son,
But you said nothing
But now he's turning against you

[Chorus:]
You gonna reap just what you sow [x3]

Everybody knows
No jail can keep him
'Cause you rubbing shoulders with the law
But now it's time to pay the price wo... woh

[Chorus: till fade]
You gonna reap just what you sow​
 
Mimi mpaka hapa mmesha nichanganya akili.
Tunataka misaada au hatutaki? Maana ikizuiwa tunasema "wakwende zao hao wazungu hatuhitaji misaada yao wala hatuna shida" na kejeli nyingine nyingi nyingi. Wakisema wataendelea kutupa misaada tunaanza kushangilia na kumsifu mheshimiwa rais kuwa ni jembe na wazungu wanamuelewa na kumkubali sana.
Hivi ni sisi sisi au ni viumbe toka sayari nyingine vinavyomiliki hizi IDs humu na kubaki wakituchezesha ngoma na nyimbo za akina 'Sakatoto ngusuma jumo mwana?
 
Hahaha dah nchi inatetema kisa swala la misaada na mikopo lakini wao hua wanaungana ukifika muda wa kutaka posho iongezwe na siyo kuiendeleza Tz.
 
"Reap What You Sow"

We hear you crying
So bitterly
Trying to get people to help you ye ye
But nobody will
Your son was brutalizing people everytime.
But you said nothing
Now it's the time to pay the price
It's time to pay ye ye ye ye

[Chorus:]
You gonna reap just what you sow [x4]

Coming back home
With stolen things
Instead of telling him
How wrong he was
You told him how clever he was
People coming out of burning houses
It's your son Driving stolen cars every time
It's your son,
But you said nothing
But now he's turning against you

[Chorus:]
You gonna reap just what you sow [x3]

Everybody knows
No jail can keep him
'Cause you rubbing shoulders with the law
But now it's time to pay the price wo... woh

[Chorus: till fade]
You gonna reap just what you sow​
Hahahha Pumzika Kwa amani Kamanda Lucky Dube
 
Makonda ni mzigo.Sema tu hawa wazungu wametuzi busara na akili.

Benki ya Dunia inahurumia watoto wanaopata mimba alafu sisi wenyewe tunawahukumu!!

Finland wanampuuza Makonda ili waendelee kutusaidia!!

Aibu sana hii!!
Kwanza tuambie umeishaingiliwa kinyume na maumbile mara ngapi. Nataka kukuwa umeathirika kwa kiwango gani na kampeni dhidi ya ushoga.
 
Ansbert Ngurumo anatupigania. Pole kaka,muda utafika ujiunge na familia yako
 
Ansbert Ngurumo anatupigania. Pole kaka,muda utafika ujiunge na familia yako

Hahahaha
Comedy ya mwaka hii walahi
Jamaa limeonekana tapeli walahi
Alafu kwa mdhungu lazima kamwona kama junya tu walahi
 
Tutajitegema lini kwa bajeti yetu Wenyewe Hivi, upinzani na serikali hawawezi kuunganisha nguvu na mawazo kufikia lengo hili.
 
Kwanza tuambie umeishaingiliwa kinyume na maumbile mara ngapi. Nataka kukuwa umeathirika kwa kiwango gani na kampeni dhidi ya ushoga.
Acha kupaniki! Serikali yako yenyewe imemkana Makonda.

Awamu hii tumepata watu wapenda sifa wanaotuharbia nchi akiwemo Bashite na baba yake.
 
Back
Top Bottom