Sakata la kutokuachia madaraka hapa barani Africa kwa viongozi wetu

salafy

Member
Jan 13, 2017
8
3
Baadhi yetu tunapenda vurugu tu sasa kama rais umekaa madarakani zaidi ya miaka 20 unacho taka nini?
 
madalaka -madaraka
zaid - zaidi
ys - ya
unachotaka - unachokitaka
nn - nini?

Tudumishe Kiswahili, mbele ya neno lolote la kuuliza, lazima kuwe na alama ?
vile vile katika kushangaa kuwe na alama !
 
Back
Top Bottom