Sakata la kufeli kwa wanafunzi, kuwalaumu walimu pekee sio ufumbuzi wa tatizo.

Binafsi nashauri:
1. Shule zote za Sekondari ziwe za Bweni na Kuwaajiri waalimu wa Kutosha wa Sayansi na Wataalamu wa Maabara kwa kila shule.

3. Mchujo wa Form two urudishwe kama kawaida, ikiwa hujafikisha wastani unaotakiwa unarudia mara mbili, ukishindwa unapelekwa VETA.
ushauri wako namba moja haupendwi na magu na ndalichako. *nimesitisha ajira zote na naomba nyinyi mnaojiita kamati maalumu mmeokuja kuniomba niruhusu special kesi ya ajira za walimu, nawataka mpotee kabala sijawatumbua kwa mafungu. *wapeni taarifa wale wanafunzi wa special diploma ya sayansi ya udom kua nikitoka bungeni kujibu maswali nisiakute hosteli. kila mmoja arudi kwao. sisi hatutaki kutatua tatizo la walimu wa sayansi. sawa!!!

ushauri wako namba mbili haupendwi na ndalichako. nilishasema, sitaki kuona mwanafunzi akikaririshwa madarasa, hata kama ni shule za binafsi. akipata sifuri, aendelee tu, na akifeli form form, tutamshusha cheo mkuu wa shule. ninampango hata wa kuja kuwashusha vyuo na huko ktk shule binafsi. sawa!!!!

pole kwa kushauri yasiyopedwa na wanaopenda elimu yetu ishuke.
 
Back
Top Bottom