Sakata la kuchoma m oto nyumba tbt;hivi kwa nini wachaga tu tuteswe na mapenzi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Kwa nia njema kabisa
wapendwa imefika saasa swala la mapenzi kuwa shule hapa jf kw msaada wa wenzangu wachaga
nimekuwa nikisoma habari za matukio tofauti lakini hili la majuzi limenisikitisha sana

kitendo cha yule jamaa kuchoma nyumba nzuri vile kisa penzi kweli nimesikia mananii kunitoka kule
nikajiuliza amekosa nini mpaka afanye hivi

cha ajabu nikasema jamani mtu ana watoto 3 na wote amewapeleka kwanza kwa dadake akaamua kuchoma moto je uungwana....la pili akuna sheria zinazoeweza kumweka ndani mtu kama huyu hata kama ni nyumba yake ??

Ndugu zangu wa kichaga na ajua kwa kweli kuliko mliwe maliizenu bora waibe zile pesa kule kwenye visanduku...ila najiuliza

1.matukio yanavyoendelea ni kwamba atujui kuvumilia ama??
2.je ni kwamba awa watu wameamua kutuumiza sisi wachaga wenyewe tu ama kuna mengine yanaumiza zaidi yanakaa kimya sisi tunaweka live

embu tusaidiane jamani kupunguza ajali na matukio zaidi kwa ndugu waliobakia
 
we bana shemeji ile habari ni sawa na mama mjamzito wa hali ya pangu pangavu tia mchuzi hawei kumuamsha mumewe usiku akadai burger na kuku wa merry brown!
JAMAA ASINGEWEZA KUCHOMA NYUMBA KAMA HANA ZINGINE bana!
 
hata mandela waliomchapia hakuwa samehe chezea papuchi wewe..
 
we bana shemeji ile habari ni sawa na mama mjamzito wa hali ya pangu pangavu tia mchuzi hawei kumuamsha mumewe usiku akadai burger na kuku wa merry brown!
JAMAA ASINGEWEZA KUCHOMA NYUMBA KAMA HANA ZINGINE bana!

well said bibie umeona enhee.. au anauhakika wa kujenga..
 
yani we kweli mjumba wote ule!af uwe umejenga kimkopo mkopo salary slip inasoma nil mpka na yenyewe wameikopa!ehehhe yani benki A inasubiir benki B wamalize kukukata nao waanze!
af uchome nyumba kisa papuchi tuuuu!
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu!
af kwanza ilikuwa ni tetesi!
na hata kama ni kweli!
sasa alivochoma nyumba ndo mkewe kawa hajaliwa?sana sana unampa sababu ya kuondoka zaid!
SI HAMNA PA KULALA!
 
hii ni kama issue ya mzee Kaingangi Ngambali Mwairu, alikuwa anakajengea kabinti fulani nyumba kwenye kiwanja ambacho kinamilikiwa na hako kabinti. Siku nyingine kabinti kalikuwa kanaenda kusimamia ujenzi na mzee halafu siku nyingine kabinti kanaenda na boyfriend wake (high school sweetheart wake). Mafundi wakamtonya mzee, mzee akaleta tingatinga akavunja nyumba yote wakaondoa mpaka msingi jamvi n.k.

Tatizo linakujaga pale umemjengea nyumba demu kwenye kiwanja chake, hapo ujue huna chako, ndio maana wanaamua kuziteketeza. Hapo Total destruction is the only solution.
 
huyu sio demu mind yu!
NI MKE!HALALI WA NDOA NA WANA WATOTO !
:noidea:
 
Bwashee ni heri pesa ipotee kuliko papuchi kuliwa patachimbika bila jembe
 
Sidhani kama amechoma nyumba kwa sababu yy ni mchagga ila amechoma kwa sababu anazozijua yy. Na pia sijui kwa nn kila mwenye jina la kichagga anapofanya jambo huwa anakuwa judged kwa uchagga wake na ishu inakuuzwaaa eti mchagga kafanya hivi au vile. Mbona makabila mengine hamuwaiti kwa majina ya makabila yao???hapo ndo huwa napata picha jinsi gani wachagga ni kabila kubwa lenye heshima nchi hii.
 
chanzo hasa ni nni?.. vitu vingine ni nyuma ya pazia ,huenda pia ikawa sio kama ivo wengi wetu tunavodhani.
 
hii ni kama issue ya mzee Kaingangi Ngambali Mwairu, alikuwa anakajengea kabinti fulani nyumba kwenye kiwanja ambacho kinamilikiwa na hako kabinti. Siku nyingine kabinti kalikuwa kanaenda kusimamia ujenzi na mzee halafu siku nyingine kabinti kanaenda na boyfriend wake (high school sweetheart wake). Mafundi wakamtonya mzee, mzee akaleta tingatinga akavunja nyumba yote wakaondoa mpaka msingi jamvi n.k.

Tatizo linakujaga pale umemjengea nyumba demu kwenye kiwanja chake, hapo ujue huna chako, ndio maana wanaamua kuziteketeza. Hapo Total destruction is the only solution.

I like his decision...kuliko angeji mushi//munis kwaajili ya papuch!
 
Sidhani kama amechoma nyumba kwa sababu yy ni mchagga ila amechoma kwa sababu anazozijua yy. Na pia sijui kwa nn kila mwenye jina la kichagga anapofanya jambo huwa anakuwa judged kwa uchagga wake na ishu inakuuzwaaa eti mchagga kafanya hivi au vile. Mbona makabila mengine hamuwaiti kwa majina ya makabila yao???hapo ndo huwa napata picha jinsi gani wachagga ni kabila kubwa lenye heshima nchi hii.

Well said mkuu.....it is a prejudice!!
 
Kwa nia njema kabisa
wapendwa imefika saasa swala la mapenzi kuwa shule hapa jf kw msaada wa wenzangu wachaga
nimekuwa nikisoma habari za matukio tofauti lakini hili la majuzi limenisikitisha sana

kitendo cha yule jamaa kuchoma nyumba nzuri vile kisa penzi kweli nimesikia mananii kunitoka kule
nikajiuliza amekosa nini mpaka afanye hivi

cha ajabu nikasema jamani mtu ana watoto 3 na wote amewapeleka kwanza kwa dadake akaamua kuchoma moto je uungwana....la pili akuna sheria zinazoeweza kumweka ndani mtu kama huyu hata kama ni nyumba yake ??

Ndugu zangu wa kichaga na ajua kwa kweli kuliko mliwe maliizenu bora waibe zile pesa kule kwenye visanduku...ila najiuliza

1.matukio yanavyoendelea ni kwamba atujui kuvumilia ama??
2.je ni kwamba awa watu wameamua kutuumiza sisi wachaga wenyewe tu ama kuna mengine yanaumiza zaidi yanakaa kimya sisi tunaweka live

embu tusaidiane jamani kupunguza ajali na matukio zaidi kwa ndugu waliobakia

Kwa maelezo yalivyo inatia shaka, kwa tabia hiyo ya huyo mkewe yawezekana hata hao watoto aliowahamishia kwa dada ya
ke wakawa si wake, ee Mwenyezi Mungu zinusuru ndoa za waja wako ili watoto wasio na hatia wafurahie utukufu wako
 
Back
Top Bottom