Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,888
- 21,975
Kwa nia njema kabisa
wapendwa imefika saasa swala la mapenzi kuwa shule hapa jf kw msaada wa wenzangu wachaga
nimekuwa nikisoma habari za matukio tofauti lakini hili la majuzi limenisikitisha sana
kitendo cha yule jamaa kuchoma nyumba nzuri vile kisa penzi kweli nimesikia mananii kunitoka kule
nikajiuliza amekosa nini mpaka afanye hivi
cha ajabu nikasema jamani mtu ana watoto 3 na wote amewapeleka kwanza kwa dadake akaamua kuchoma moto je uungwana....la pili akuna sheria zinazoeweza kumweka ndani mtu kama huyu hata kama ni nyumba yake ??
Ndugu zangu wa kichaga na ajua kwa kweli kuliko mliwe maliizenu bora waibe zile pesa kule kwenye visanduku...ila najiuliza
1.matukio yanavyoendelea ni kwamba atujui kuvumilia ama??
2.je ni kwamba awa watu wameamua kutuumiza sisi wachaga wenyewe tu ama kuna mengine yanaumiza zaidi yanakaa kimya sisi tunaweka live
embu tusaidiane jamani kupunguza ajali na matukio zaidi kwa ndugu waliobakia