ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
I guess mavuno!
I guess mavuno!
I guess mavuno!
Halafu wewe ndio utakuwa wa kwanza kupongeza siku rais akimtumbua mwigulu.Non-sense
Kwani ajali ya Lucky Vicent Mwigulu ndo alisababisha?, hao watu 38 waliokufa kibiti Mwigulu kahusikaje?
Mauaji ya kibiti ni mambo yanayohitaji ushirikiano wa wananchi na jeshi la polisi, sasa waziri kazuia nini hapo.
Je ingekua Tanzania ndo Kenya kwa Alshabab mngesema serikali ijiuzuru?
Watanzani mkikosa hoja mna maneno yasiyokua na maana
Sinaga uzuzu wa aina hiyo, sifuati mkumbo kama bendera fuata upepo.Halafu wewe ndio utakuwa wa kwanza kupongeza siku rais akimtumbua mwigulu.
Umekunywa maji ya bendera ya kijanai utaacha kushangilia atakaloamua mwenyekiti wakoSinaga uzuzu wa aina hiyo, sifuati mkumbo kama bendera fuata upepo.
Sishangilii kwa kua flani nae kashangilia.
Sina chama wala haitatokea kuniona nashangilia vyama vya kipuuzi sijui ccm, chadema,act etcUmekunywa maji ya bendera ya kijanai utaacha kushangilia atakaloamua mwenyekiti wako
Kujiuzulu sio solution,solution ni kupanga mikakati yenye tija,kwa kutumia vikosi maalum vya kupambana na magaidi.Na kutumia mitambo na zana za kisasa.Hiyo ni chuki binafsi kwa Mwigulu
Hivi kwann watu hatupendani, akijiuzulu wewe utapata nn kwa mfano...
Maelezo malefu yaliyojaa pumba tupu..BARUA YA WAZI KWA RAIS MAGUFULI
Kwako Mtukufu Magufuli, Rais wa Wanyonge na Wanafunzi Wasiobeba Mimba, Mtumbua Majipu Mkuu, Msutaji Mkuu, Usiye na Doa (Mr. Clean), Tingatinga, nakadhalika nakadhalika……………………
Salaam!
Ninaandika Waraka Huu kwako ili kukumbusha kuwa “Tanzania kwanza UCCM baadaye”. Kama ilivyokuwa kwa Ali Hassan Mwinyi enzi akiwa waziri wa mambo ya ndani, Baada ya kuharibu na kushindwa kusimamia ulinzi na usalama katika wizara yake, aliwajibika kujiuzulu kiungwana ili kumpisha mtu anayeweza kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Alifanya hivyo bila simile kwani alitambua kuwa UCCM upo endapo watanzania wana amani na uwekevu.
Sasa sisi kama watanzania tunaishi kwa taabu, kwa sababu jeshi la Polisi si walinzi tena bali nao ni wahanga wa upungufu wa usalama nchini yaani (2UC). Mauaji yanayoenda huko Kibiti yanatia dosari nchi yetu na kuhanikiza harufu ya chuki.
Kwa picha hii Ndg. Mwigulu Lameck Madilu Nchemba ameonesha incompetence, udhaifu katika wizara yake. Ni vema ili kulinda heshima yake ajiuzulu mwenyewe na ampishe mtu mwingine ateuliwe kusimamia wizaya ya Mambo ya Ndani na Jeshi la Polisi.
Hebu tujiulize kidogo kama Mwigulu aliomba urais kupitia CCM, Lakini wizara ndogo kama hii inamshinda je angebahatika kuwa amiri jeshi mkuu si watu wangebakwa bila kujali jinsi zao?
“Siasa nzuri siyo ya kujisifia ujinga bali ni ile inayolenga kuwanufaisha watanzania” (Nyerere 1984).
Mheshimiwa Rais Magufuli pokea waraka huu bila jazba uufanyie kazi.
Na Faru Yohana 1999.
Nanjilinji.
Acha utani, hii inawezekana kweli? Ikitokea basi TZ itakuwa imeisha.Nasikia kala viganja leo magogoni..
Kuna muda hata baba nyumbani akiona nyumba imemshinda hutafuta ushauri. Kwa yanayo endelea Kibiti Mwigulu ameshindwa kuongoza Wizara, na kama ana taka heshima anatakiwa ajiuzulu Mh rais aweke hapo mtu mwingine mwenye utaalamu wa kikachero na sio Economy class oneHivi kwann mmemkomalia Mwigulu ajiuzulu?
Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.
Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail
CC JPM