Yeye ndo anawauwa kwani, acheni fitna wanaadamuUnataka mpaka wafe raia wangapi?
Husna mbaya sana siwaelewi yaani viumbe wengine, yaani badala ya kushauri nini kifanyike wanaona kujiuzuru ndo solutionsHiyo ni chuki binafsi kwa Mwigulu
Hivi kwann watu hatupendani, akijiuzulu wewe utapata nn kwa mfano...
Hivi kwann mmemkomalia Mwigulu ajiuzulu?
Kwanini???ADADI RAJABU NO WAY! Mwenye Enzi Mungu atunusuru walahi!
Amepigwa makofi huko, kavimba mashavu anauguza!
Mi mwenyewe nashangaa maana wale wanaouawa ni "paka tu"
Mwiguluuuu Leo yamekugeukia kweli CCM kiboko,
Ndio mazala ya siasa za CCM haya..mmateuana kwa kuangalia ukada leo mnalalamikia mazara..
Waziri wa mambo ya ndani anatakiwa na uzoefu wa maswala ya ulinzi na usalama, wako wazee kibao jeshini huko na usalama wa Taifa.
Waziri wa ulinzi Lazima mkongwe kutoka JWTZ na si vinginevyo.. Ukada usiwe sehemu ya uteuzi.
!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kwani yeye ndiye kawaua?
Trust me on this, jamaa hafai kabisa! Rhabuka Mola wangu ashuhulike naye!Kwanini???
ImekuajeAmepigwa makofi huko, kavimba mashavu anauguza!
Mazala - madhara! Uwiiiiii duh!Mwiguluuuu Leo yamekugeukia kweli CCM kiboko,
Ndio mazala ya siasa za CCM haya..mmateuana kwa kuangalia ukada leo mnalalamikia mazara..
Waziri wa mambo ya ndani anatakiwa na uzoefu wa maswala ya ulinzi na usalama, wako wazee kibao jeshini huko na usalama wa Taifa.
Waziri wa ulinzi Lazima mkongwe kutoka JWTZ na si vinginevyo.. Ukada usiwe sehemu ya uteuzi.
Akiendelea kubaki wewe unapata nini? Kwani kujiuzulu ni dhambi? Hilo ni tendo la kiungwana na huonyesha mhusika anajali. Anaomba kukaa pembeni ili wengine waje na maarifa tofauti! Lengo hapa ni kutafuta suruhisho sahihi! Inawezekana hana uwezo wa kuendana na hiyo wizara!Hiyo ni chuki binafsi kwa Mwigulu
Hivi kwann watu hatupendani, akijiuzulu wewe utapata nn kwa mfano...
Mazala - madhara! Uwiiiiii duh!