Sakata la Kagoda kweupe

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Suala la nani mmiliki wa kampuni la kagoda sasa limewekwa wazi,baada ya mwanaharakati mmoja kuweka wazi kuwa rostam aziz na yusufu manji pamoja na binamu zake r.a.sasa ni wakati wa serikali kujieleza kwanini waliigiza kuwa hawafahamu wamiliki,na inasemekana jamaa walishamaliza deni kwakurudisha pesa walizochukua kuepuka kushtakiwa.chanzo.itv
 
Serikali isipowashitaki hawa wafungwa wote nao warudishe walichoiba ili waachiwe huru.Hakuna aliye juu ya sheria,chondechonde viongozi msiivunje sheria ya nchi yetu.
 
Serikali isipowashitaki hawa wafungwa wote nao warudishe walichoiba ili waachiwe huru.Hakuna aliye juu ya sheria,chondechonde viongozi msiivunje sheria ya nchi yetu.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Nikweli Mkuu,maana mwizi wa kuku na yule wa mabilioni hawako sawa! Wakuku miezi 6 wa mabilioni huru.No one above the law otherwise Tz is not in rule of law.
 
Leo nimeskia redioni nape anamtumia kijana flani jina limentoka kuwahafua mkapa na ra ili wasiende igunga,kumekucha
 
Hakuna atakae shitakiwa,Jk alisha sema wakirudisha pesa za epa watashitakiwa
na baada ya muda ilitamkwa wamerudisha pesa.
Je ukiiba alafu ukamatwe na useme upotayari kurudisha mahakama itakuachia huru?
Au hiyo inawafever wahindi tu?
 
kwenye red panahusika
ndipo tujumlishe kauli za kikwete 1+1=maswaiba walio juu ya sheria
 
Sirikali ya KIPOPOMPOO KAZI TUNAYO. Bila kufanya maamuzi magumu tutaendelea kuumia. Tuandamane huyu jamaa amechokwa hata na usalama wake wenyewe wamemchoka.
 
Picha la Kichina lishaanza subirini muone mwisho wake................... legelege legelege!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom