Hospital zetu unazoenda na daftari, gloves, matambara, kiguo cha kupimia uzito au mnasema za nchi ipi.
Mambo mengine muwe mnajiongeza
Soma vizuri rudia taratibu mama anguHospital zetu unazoenda na daftari, gloves, matambara, kiguo cha kupimia uzito au mnasema za nchi ipi.
Mambo mengine muwe mnajiongeza
Hata wewe jamani unashindwa kuelewa fasihi ya mzee Mabala the Farmer?Hospital zetu unazoenda na daftari, gloves, matambara, kiguo cha kupimia uzito au mnasema za nchi ipi.
Mambo mengine muwe mnajiongeza
Hata Kama hujasoma fasihi inamaana umeshindwa kuelewa Mabala anamaanisha Nini..!,Hospital zetu unazoenda na daftari, gloves, matambara, kiguo cha kupimia uzito au mnasema za nchi ipi.
Mambo mengine muwe mnajiongeza
Usiniambie umeshindwa kabisa kuelewaHospital zetu unazoenda na daftari, gloves, matambara, kiguo cha kupimia uzito au mnasema za nchi ipi.
Mambo mengine muwe mnajiongeza
Wakuu kuhusu sakata la muuwaji Hamza kwa uchungu mengi yanasemwa, basi Mwalimu Richard Mabala Makengeza naye kasema yake ili kuepuka uzao wakihalifu sawa na wa Hamza, kapendekeza kwenye hospitali za wazazi kuwepo na watabiri.
zaidi Soma chini..View attachment 1916244