Sakata la Hamza, Mwalimu Makengeza atoa pendekezo

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
771
1,000
Wakuu kuhusu sakata la muuwaji Hamza kwa uchungu mengi yanasemwa, basi Mwalimu Richard Mabala Makengeza naye kasema yake ili kuepuka uzao wakihalifu sawa na wa Hamza, kapendekeza kwenye hospitali za wazazi kuwepo na watabiri.
zaidi Soma chini..
20210830_111124.jpg
 

Resurrection

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
496
1,000
Naona hii imekuwa ya Firauna wakati makuhani wake walipomwambia kuna mtoto atzaliwa wa kiume ndie atakae kuja kuupinduwa Ufalme wako akatoa amri Firauna ya kuua watoto wote wa kiume wanaozaliwa lkn wapii Amri ya Mungu ni kubwa akazaliwa Nabii Mussa na yeye vile vile akamlea na akawa adui yake so IGP Ziroo ni domo kaya tu.
 

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,436
2,000
Hahahaaaaa Mabala the Farmer aache uchochezi kwani si ndio yeye
Aliyekua anaweka mbolea juu ya mahindi badala ya kwenye kishina?

Hilo dongo la Dona linafaa kuliwa na migebuka yenye Pilipili kichaa Kali + kachumbali iliyochacha!

Kamanda Zerro Soma hiyoooooooooooooo!
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Wakuu kuhusu sakata la muuwaji Hamza kwa uchungu mengi yanasemwa, basi Mwalimu Richard Mabala Makengeza naye kasema yake ili kuepuka uzao wakihalifu sawa na wa Hamza, kapendekeza kwenye hospitali za wazazi kuwepo na watabiri.
zaidi Soma chini.. View attachment 1916244

Mabaraaa baraa huyu akili kubwa.

Aione Dkt Doro na Mollel kwa utekelezaji.
 

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
771
1,000
Ukilisikiliza vizuri pendekezo la Mwalimu Richard Mabala Makengeza (mzungu) lenye harufu ya dhihaka na kejeli zidi ya onyo la IGP Sirro kwa wazazi, Makengeza anatuonyesha jinsi wazungu wanavotuona sisi watu weusi tunapofanya mambo ya ajabu ajabu!
sddefault.jpg
20210830_111124.jpg
MABALA-THE-FARMER.jpg
 

Attachments

  • 20210830_111124.jpg
    File size
    60.7 KB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom