Sakata la Fast Jet:Nakubaliana na mtazamo huu wa Halima Mdee alioutoa kupitia mtandao wa twitter

Wabongo awamu hii mnahitaji kuwa na sifa hizi ili mjikomboe.

1.Muwe na uwezo wa kuona mbali
2.Mtazame mbali
3.Muwe na uwezo wa kufanya intelligence analysis(hili ni muhimu pengine kuliko yote)
4.Muwe wafuatuliji wa mambo.

Last but not least,panapokuwa na jambo lenye utata, kwa sasa ni vizuri na ni busara zaidi kuwa pessimistic kwa kile utacholetewa au kusikia kama official, na optimistic kwa kile utachosikia lakini ambacho sio official kuhusu jambo lile lile.
 
Wabongo awamu hii mnahitaji kuwa na sifa hizi ili mjikomboe.

1.Muwe na uwezo wa kuona mbali
2.Mtazame mbali
3.Muwe na uwezo wa kufanya intelligence analysis(hili ni muhimu pengine kuliko yote)
4.Muwe wafuatuliji wa mambo.
we kijana unapoteza muda wako bure ulishupalia Acacia,bombardier kote ulifeli,sasa unashupalia fast jet,ulivyo na gundu huna unachopigia kelele ukafanikiwa
 
Ni pamoja na demokrasia ya kuziba midomo, kususia vikao vya bunge, na kuvunja kwa makusudi Kanuni za bunge ili wafukuzwe bungezi, kunakofanywa na Waheshimiwa Wabunge wetu.

Uchaguzi wa 2020 huenda ukatupa Wabunge Waheshimiwa, watakaoheshimu kura za wananchi zitakazowapeleka huko wakatimize wajibu wao ipasavyo.
Ni aibu kuweko kwenye hilo bunge kibogoyo. Kama ilikuwa sifa kuwa bungeni ni zamani. Kwa sasa ni dharau kuwa mbunge maana hakuna lolote wanalopanga likafuatwa zaidi ya kuuza sura. Kama ulidhani kuna mtu analishobokea basi umechemka.
 
hata kama huyo Mdee kasomea sheria asiwe mgumu kufuatilia masuala mengine nje ya sheria. kwa akili zake anataka kampuni ambayo imefilisika na kushindwa kujiendesha iendelee kuwako ikishangilia tu? huyu mtu ajiandae kuikabidhi kawe mapema maana anayofanya sidhani kama wana kawe wanapata maendeleo. hata kama kumchukia Magufuli lakini katika hili la FAST JET serikali isilaumiwe kwa sababu FAST JET ilikuwa inaonekana imara kwa sababu ilikuwa inajiendesha bila ushindani imara lakini kitendo cha ATCL kuwa imara imefanya hiyo kampuni kukosa uelekeo
 
Kaandika hivi katika mtandao wa twitter:

Huu mchezo wa FAST JET ni BONGO MOVIES, Starring akiwa JIWE, Masha ni Mwigizaji MSAIDIZI. Msiumize vichwa BURE.
Hakuna kitu kinachoitwa sakata la fastjet, kuna suala la watu kuwa na uelewa finyu wa masuala yenye kuhitaji kueleweshwa kitaalam.

Ukiwa mpenda majungu na umbeya siku zote utajikuta unatengeneza masakata yasiyokuwepo.

Kesho saa nne asubuhi Masha ataanikwa vizuri sana.
 
Instagram%20media%20-%20BrzN4BWAKuJ.jpeg
 
Back
Top Bottom