Sakata la Escrow: Wapinzani pelekeni hoja binafsi Bungeni kutaka maazimio ya Bunge yatekelezwe

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,308
Zitto na wabunge wengine wa upinzani badala ya kuishia kufanya siasa za mitandaoni na kwenye vyombo vya habari baada ya sakata hili kuibuka tena,nawashauri mlifufue jambo hili upya Bungeni kwa kupeleka hoja binafsi hata kama walio wengi watawaipinga.

Kwa kufanya hivyo mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kama wabunge na kuwapa nafasi wananchi kupima dhamira ya wana-CCM ya kupambana na ufisadi.

Sisi wananchi kufanya siasa za mitandaoni ndio nafasi yetu lakini nyinyi kama wabunge bado mna nafasi ya kwenda mbali zaidi kwa kuliibua upya sakata hili Bungeni.

Hii ni sawa na ile tabia ya wananchi kulalamika na mkuu wa kaya nae kulalamika.

Timizeni wajibu wenu.
 
Wabunge wengi wa ccm ni wanafiki ila tatizo liko kwa watanzania wasiojitambua
Wapinzani wakikaa kimya ndio udhaifu huu unazidi kuota miziz.

Ni rahisi kupuuza hoja ya Zitto iliyotolewa facebook kuliko hoja iliyotolewa Bungeni.

Facebook sio mahali official kwa mbunge kutoa hoja yake hivyo ni rahisi kuipuuza kuliko kama angeitoa hoja hiyo ndani ya Bunge.

Wakitoa majibu mepesi kwa hoja nzito ndani ya Bunge,wanakuwa wanajimaliza wenyewe.
 
Zitto na wabunge wengine wa upinzani badala ya kuishia kufanya siasa za mitandaoni na kwenye vyombo vya habari baada ya sakata hili kuibuka tena,nawashauri mlifufue jambo hili upya Bungeni kwa kupeleka hoja binafsi hata kama walio wengi watawaipinga.

Kwa kufanya hivyo mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kama wabunge na kuwapa nafasi wananchi kupima dhamira ya wana-CCM ya kupambana na ufisadi.

Sisi wananchi kufanya siasa za mitandaoni ndio nafasi yetu lakini nyinyi kama wabunge bado mna nafasi ya kwenda mbali zaidi kwa kuliibua upya sakata hili Bungeni.

Timizeni wajibu wenu.
ni wazo zuri na wapinzani wafanye hivo ingawa am sure hapa ndipo naibu spika atakapoitwa ili kuifutilia mbali hoja hata kabla haijawasilishwa.

having said the above, naafikiana na wewe kuwa kuthubutu ni bora kuliko kulialia huku kwenye mablanketi (aka mitandao)!
 
Mkuu, hao IPTL watalipwa tu, sijui hata wakili upande wa TANESCO walikuwa nani? ila inaumiza tu, huenda kuna wajanja wanataka kupiga pesa kupitia mgongo wa "go on" ya mahakama.
 
ni wazo zuri na wapinzani wafanye hivo ingawa am sure hapa ndipo naibu spika atakapoitwa ili kuifutilia mbali hoja hata kabla haijawasilishwa.

having said the above, naafikiana na wewe kuwa kuthubutu ni bora kuliko kulialia huku kwenye mablanketi (aka mitandao)!
Huu umekuwa udhaifu mkubwa sana siku hizi kwa wapinzani na sisi tumebaki kushangilia tu wakati wao(CCM) wanatuchora tu.
 
Nam nukuu JK "Gavana, akaenda mbali zaidi ili fedha zisije daiwa au potea tu..kuona hizi fedha zisije potea bure, aliomba uhakikisho na assurance ya mwisho, kuwa je IKITOKEA MTU KAJA KUDAI HIZO FEDHA itakuwaje..!? Ndio PAP akatoa guarantee, kuwa yeye ndio yuko responsible na atalipa...!!

TANESCO hawapaswi kujiingiza kwenye ugomvi wa umiliki wa IPTL kati ya PAP na SCB-HK kama wamedhulumiana ni wao kwa wao, TANESCO ilishamlipa PAP kwa rulling ya mahakama kuu Tanzania baada ya kumalizana na Rugemarila, JK alimtaka Gavana ahakikishe kuwa TANESCO hailipi mara mbili baada ya ugomvi wao kuisha . Kama wamedhulimiana ni wao kwa wao
 
Ni kweli ilisemwa hivyo lakini kwa nchi hii lolote la tofauti na tulivyoelezwa bado linawezekana.
 
Nam nukuu JK "Gavana, akaenda mbali zaidi ili fedha zisije daiwa au potea tu..kuona hizi fedha zisije potea bure, aliomba uhakikisho na assurance ya mwisho, kuwa je IKITOKEA MTU KAJA KUDAI HIZO FEDHA itakuwaje..!? Ndio PAP akatoa guarantee, kuwa yeye ndio yuko responsible na atalipa...!!

TANESCO hawapaswi kujiingiza kwenye ugomvi wa umiliki wa IPTL kati ya PAP na SCB-HK kama wamedhulumiana ni wao kwa wao, TANESCO ilishamlipa PAP kwa rulling ya mahakama kuu Tanzania baada ya kumalizana na Rugemarila, JK alimtaka Gavana ahakikishe kuwa TANESCO hailipi mara mbili baada ya ugomvi wao kuisha . Kama wamedhulimiana ni wao kwa wao

Ukakasi. Mkuu hili suala linaumiza kichwa sana.
 
Watakao jadiri hiyo hoja ni wabunge ambao baadhi yao walipiga hizo hela, acha walala hoi tulipe deni.
 
Kwa serikali ya ccm na wabunge wao lao ni moja ..kwn wanafaidika na huo mgogoro ...wabunge wa ccm wengi ni ma naa ..hakuna anaweza kupinga
 
Zitto na wabunge wengine wa upinzani badala ya kuishia kufanya siasa za mitandaoni na kwenye vyombo vya habari baada ya sakata hili kuibuka tena,nawashauri mlifufue jambo hili upya Bungeni kwa kupeleka hoja binafsi hata kama walio wengi watawaipinga.

Kwa kufanya hivyo mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kama wabunge na kuwapa nafasi wananchi kupima dhamira ya wana-CCM ya kupambana na ufisadi.

Sisi wananchi kufanya siasa za mitandaoni ndio nafasi yetu lakini nyinyi kama wabunge bado mna nafasi ya kwenda mbali zaidi kwa kuliibua upya sakata hili Bungeni.

Hii ni sawa na ile tabia ya wananchi kulalamika na mkuu wa kaya nae kulalamika.

Timizeni wajibu wenu.

Yule dada hataruhusu
 
Back
Top Bottom