Sakata la Escrow: Godbless Lema ahoji kuhusu wahusika wengine

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,316
Lema ka-tweet orodha ya vigogo wachache na mgao waliopata huku akihoji mbona hawa wameachwa?

Orodha hii sidhani kama ni mpya bali nadhani ni miongoni mwa zile ziliziwahi kuzagaa mitandaoni kipindi kile sakata hili lilipokuwa limepamba moto.

 
Upinzani wa matukio...Jpm ana drive matukio anavyotaka na wapinzani wanafata yale yale
 
IMG_20170619_194014.jpg

MZGO WOTE HUU MAJINA HAYO JE HATUWAJUI?
 
Kwanini hajiulizi yeye Kama mbunge ilikuwaje chadema wakampa ugombea uraisi lowasa wakati bungeni ambapo yeye alikuwemo walipitisha azimio kuwa lowasa fisadi? Je chadema iliheshimu maamuzi Ya bunge au ilidharau?
 
Tukimaliza Escrow tunafuata Richmond. Napo tutapiga kwanza kubwa la maadui a.k.a aliyenunua chama cha CDM, na hapo Lema atweet pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom