Sakata la Escrow: Godbless Lema ahoji kuhusu wahusika wengine

Kwanini hajiulizi yeye Kama mbunge ilikuwaje chadema wakampa ugombea uraisi lowasa wakati bungeni ambapo yeye alikuwemo walipitisha azimio kuwa lowasa fisadi? Je chadema iliheshimu maamuzi Ya bunge au ilidharau?

Wakikujibu naomba unitag namimi nione majibu muruaa
 
Upinzani wa matukio...Jpm ana drive matukio anavyotaka na wapinzani wanafata yale yale

Mkuu si ndio huyo kaleta suala la makaninikia Lissu kumpa za uso ndio mkageuka kulia eti sio mzalendo?
 
Lema ka-tweet orodha ya vigogo wachache na mgao waliopata huku akihoji mbona hawa wameachwa?

Orodha hii sidhani kama ni mpya bali nadhani ni miongoni mwa zile ziliziwahi kuzagaa mitandaoni kipindi kile sakata hili lilipokuwa limepamba moto.

Mwambie atulie mkulu huwa hapangiwi la kufanya,kila jambo kwa wakati na majira yake,sauwaah.
 
Kwanini hajiulizi yeye Kama mbunge ilikuwaje chadema wakampa ugombea uraisi lowasa wakati bungeni ambapo yeye alikuwemo walipitisha azimio kuwa lowasa fisadi? Je chadema iliheshimu maamuzi Ya bunge au ilidharau?
Mwambieni Magu amfunge si mwizi?
 
Upinzani wa matukio...Jpm ana drive matukio anavyotaka na wapinzani wanafata yale yale
Wewe na ufinyu wako wa mawazo umeona hivyo, ila kama usemavyo ndivyo alikuwa ana haja gani ya kumuamrisha spika wa bunge na yeye aseme atawashughulikia huku mtaani? Si angewaachia wafuate matukio anayoyadrive, hivi ukiwa fisiemu lazima uwe hamnazo hata kama unatakasa PHD?
No wonder mnampongeza kwa kuzuia makinika badala ya kubadilisha sheria za kinyonyaji, pathetics!!!
 
Alikuwa et anaongea na wazee wa dar,aisee CCM imeoza kila kona.

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
 
PONGEZI ZA DHATI KWA SERIKALI YA CCM,PONGEZI KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO..

PONGEZI ZA DHATI KWA UTHUBUTU WA VITENDO KATIKA KUPAMBANA NA UHARAMIA,UBINAFSI,WIZI NA UFISADI.

HONGERA JEMEDALI MKUU MH.RAIS,BARAZA LA MAWAZIRI,TAASISI ZA UCHUNGUZI NA USALAMA..
 
Aache kudandia kwa kuchukua docs humu, angekuwa bado na ile list ndefu kama kweli wanapigania mafisadi angeirusha... ilikuwemo humu pia ndefu majina yote ndani.

Upinzani muache kudandia tu mnatuboa sana sana sasa... kisa mmeona mahala kutafuta kiki eeeeeh, angeweka ya majina yote hapo sawa

Tena majina hayo yoteeee lazima Takukuru wanayo.

Mnakazi kweli kweli

Magufuli 2020
 
Lema ka-tweet orodha ya vigogo wachache na mgao waliopata huku akihoji mbona hawa wameachwa?

Orodha hii sidhani kama ni mpya bali nadhani ni miongoni mwa zile ziliziwahi kuzagaa mitandaoni kipindi kile sakata hili lilipokuwa limepamba moto.

I

Ni kweli mfano shtaka la pili ili washtakiwa watiwe hatiani inabidi waunganishwe baadhi ya maofisa wa serikali walioshiriki kutenda kosa na ndiyo hao waliokula mipunga ya mgao
 
Awali ya yote hawa CCM, wabunge wao, viongozi, wapambe wao wanaoandamana kumpongeza rais kufanya kazi yake, ukizingatia ni hao hao waliopitisha sheria hizo hizo kwa ndioooo bungeni na mbwembwe, dharau na kejeli mtaani.
Waliomfukuza Zitto kuhoji kusaini mkataba wa serikali hotelini kama wana akili timamu inakuwaje wanakubali Chenge of all. the people awe mmoja wa wenyeviti wa bunge?
Kesho akitumbuliwa haya majuha yataandamana kumpongeza whoever rais, spika, bunge kwa kumtumbua. Na watamuita mzalendo, CCM ni kansa ya kizazi haki ya Mungu, kuwaelewa lazima uwe mlevi
 
PONGEZI ZA DHATI KWA SERIKALI YA CCM,PONGEZI KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO..

PONGEZI ZA DHATI KWA UTHUBUTU WA VITENDO KATIKA KUPAMBANA NA UHARAMIA,UBINAFSI,WIZI NA UFISADI.

HONGERA JEMEDALI MKUU MH.RAIS,BARAZA LA MAWAZIRI,TAASISI ZA UCHUNGUZI NA USALAMA..
Wth

Utampongeza kwa kitu gani wakati naye alijiuzia nyumba za serikali na kununua boti mbovu la kwenda bagamoyo liliokuwa na kasi ndogo kuliko baiskeli ya miti
 
Hawa ni wale waliogawiwa hela na James Rugeimarila kupitia Ukombozi Bank, wale waliogawiwa hela na Harbinder Singh kupitia Standard Charter ni siri ya CCM na serikali yake. Tukumbuke kuwa pesa alizogawa Ruge ni asilimia 10% tu ya zile alizogawa Singh.
Na fedha nyingi za mgao zilitumika kumuingiza magufuri madarakani ili JK akwepe mtego wa chama kumfia akiwa madarakani
 
Ra
Aache kudandia kwa kuchukua docs humu, angekuwa bado na ile list ndefu kama kweli wanapigania mafisadi angeirusha... ilikuwemo humu pia ndefu majina yote ndani.

Upinzani muache kudandia tu mnatuboa sana sana sasa... kisa mmeona mahala kutafuta kiki eeeeeh, angeweka ya majina yote hapo sawa

Tena majina hayo yoteeee lazima Takukuru wanayo.

Mnakazi kweli kweli

Magufuli 2020
Rais wenu si anatekeleza ilani yetu ya CDM, CCM hayo hayapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom