Mfichua siri
Senior Member
- Jun 19, 2012
- 135
- 62
Hivi hakuna namna nyingine ya kuchunguza wahusika wa Unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka? Itawezekanaje Mtuhumiwa kujichunguza? Ikumbukwe Polisi amepigwa jana akihisiwa kuhusika na unyama aliofanyia Dr na tunaambiwa Polisi haohao ndiyo wamepewa kazi ya kuchunguza unyama huo. Msije kushangaa kusikia majibu ya kisiasa hapa