Sakata la Dr. Ulimboka: Martha Mlata (mbunge) ni shahidi muhimu, ahojiwe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la Dr. Ulimboka: Martha Mlata (mbunge) ni shahidi muhimu, ahojiwe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwikimbi, Jul 1, 2012.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  huyu mama alisimama bungeni na kuliambia bunge kuwa anao ushahidi kuwa kuwa kuna kikundi cha watu wenye pesa kinachochea mgomo wa madaktari, baadaye waziri mkuu Pinda naye aksema hivyo. siku iliyofuata huyu Dr. alitekwa nyara na inavyoonekana kama alivyokiri ulimboka ni kuwa alinyofolewa kucha ili ataje nani yupo nyuma ya pazia kuhusu mgomo.

  my take

  usalama wa taifa walichukua kwa uzito tuhuma za Martha Mlata, ndo maana wakamteka Dr kupata uweli kwa njia haramu kama zile alizowahi kutumia idd amin. sasa ni vema pia martha mlata naye akahojiwa kuhusu uvumi huu unaolitesa taifa.

  mwaka 1991 aliyekuwa waziri mkuu Warioba, aliwahi pia kumteka kiongozi wa wanafuznzi wa wakati ule aliyeitwa Matioko Matare, kwa njia zinazofanana na hizi. ni vema mbunge Mlata akaacha kudanganya umma kuhusu kuliombea taifa (ulokole), wakati nyuma ya pazia kuna mambo ya aibu kama haya,
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Marekebisho kidogo.... Martha Mlata aliyasema hayo wakati Dk Ulimboka yupo Muhimbili (Aliokotwa Mabwepande Jumatano Asubuhi) na Martha Mlata aliuliza swali hilo Bungeni wakati wa maswali kwa Waziri Mkuu
   
 3. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  hapana ni before dr. hajakamatwa, nilifuatilia kwa karibu sana.
   
 4. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Acha ubishi ndugu! Ilikuwa alhamisi wakati wa maswali ya papo kwa hapo kwa waziri mkuu. Dr. Ulimboka alikuwa ameshaokotwa jana yake. Rudisha kumbukumbu zako vizuri
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  HAPANA,Alisema hayo baada ya Dk ULI kutekwa mkuu,mbona wote tulifuatilia vizuri tu!Aidha hakusema anaushahidi bali alidai kuna tetesi na ndio maana PM akadai nae amezisikiasikia hizo habari,na ndio maana hakutakiwa kuthibitisha vinginevyo angedai kwamba anaushahidi palepale akina LISSU wangembana ama afute kauli ama athibitishe.
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama alisema kabla or baada lazima usalama wa taifa walipata information flani ndio zilizofanya kumteka huyu jamaa...
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,777
  Trophy Points: 280
  Kwa taratibu nzuri za kiuchunguzi, huyu mbunge alitakiwa kuwa ndie mtu wa kwanza kabisa kuhojiwa
   
 8. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  wadau, tusitokwe na mishipa ya shingo bure. kila anachoongea mbunge mle ndani hakiwezi kuhojiwa hata mahakamani. hii ni kwa mujibu wa taratibu zilizopo sasa. kwa hiyo hawezi kuhojiwa hata km maneno hayo angekuwa kasema kamanda t lissu.
   
 9. a

  admiral elect Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wala hakuna haja ya uchunguzi,maana kupeleka kesi wizi wa mahindi mabichi kwa ngedere ukimshitaki nyani,utegemee tu nyani kukupiga faini kwa kosa la kiherehere cha kulima shamba karibu na miti na tena hujaweka mlinzi.faini yenyewe itakuwa kumuuacha ngedere ale mahindi kwa wiki mbilina, liwalo na liwe kwani umedhalilisha sana na umemfedhesha sana ngedere na kwamba unamuonea wivu wa kike kwa yeye kuweza kula mahindi mabichi wakati wewe mpaka utafute moto!
  my take: huyu mama wa kilikole na yule profesa wa majini nawashauri madaktari wawasubiri wakiugua watafute njia nzuuuuuuuuri,washughulike
   
 10. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Tuweke kiwango cha elimu kwa wavunge ili tupunguze mizoga
   
Loading...