Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
M'koko, unajua kuna watu wana ng'o zao, taasisi zao, na hata vyama vyao vya siasa. Utashangaa wanavyokomaa! jana walikuwa kwa waziri, leo kwa katibu mkuu! kesho kwa rostam.
Taasisi ina board of trustees, board of directors na management. Cha kushangaza ni dr. tu anakomaa alone! kimsingi nssf wakinadi vyombo vyake deni litakalobaki board of trustees wabebeshwe. any registered institution ina unlimited liabilities kwa members wake. labda THI iko limited by guarantee, then guarantors watawajibika.
Cha ajabu ni kuwa huu ni mwaka wa pili board ya THI haijakutana