SAKATA LA DAWA ZA KULEVYA POLISI ARUSHA YANASA VIDAGAA 80

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810
Jeshi la polisi mkoani Arusha, limetangaza kuwashikilia watuhumiwa 80 wa unga akiwemo askari polisi koplo Zakayo, kinara wa kuwabambikia bangi raia ili ajipatie pesa kwa njia haramu.

Hata hivyo Kamanda wa polisi, Charles Mkumbo alishindwa kuwataja vinara wa unga na kuishia kukamata watumiaji waliowengi.

Akizungumza leo alisema upelelezi unaendelea ikiwemo kupima damu na mkojo wa washukiwa ili kubaini iwapo wanatumia

Aidha alisema wamekamata mizokoto ya bangi 3845,Mirungi kilo 33 na kete 167 za Heroin.
 
Back
Top Bottom