elimikamtanzania
Senior Member
- Feb 7, 2017
- 141
- 46
Tulipotaja List of shame Pale Mwembeyanga mwaka 2011, tulitaja watu ambao walikuwa na heshima kitaifa na kimataifa. Tena majina yalitajwa na kubebewa Bango na wanasheria Nguli, Wakili Msomi Tundu Lissu na wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando, na gazeti maarufu la wakati huo(MWANAHALISI) liliyatoa majina ya mafisadi tajwa Front Page.
Hakika waswahili walinena MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU). Hongera Sana Rafiki na ndugu yangu Paul Makonda NAKUTIA MOYO PAMBANA,UMETHUBUTU NA MUNGU AKUPE NAFASI USHINDE.
Mh.Rais aliacha wengi, Mungu akanyoosha mkono tuwe sisi NA TUIFANYE KAZI HII KWA FAIDA YA WATANZANIA. Piga kazi,itisha press weka mambo hadharani, KAMA AMBAVYO mafisadi Papa na nyangumi (MIAKA hiyo)waliita press za kuiambia Dunia Nani anafisidi nini, TUPO PAMOJA-Walk with Confidence!!!! By mtaka