Sakata la Dangote: Kama ni kuondoka na aondoke tuu

Hii ni too much, kwa madai ya serikali hatuwezi ku deal na mfanyabiashara huyu

Nitashangaa sana kama serikali itakubaliana na matakwa ya dangote cement, itakuwa ni kuua moja kwa moja viwanda vingine vya cement hapa nchini vilivyofanya uwekezaji wa kutisha na ku struggle kwa miaka mingi mpaka kukua.

Hii iwe fair game, fair competition siyo kuwafunga wengine kwa ma kodi na yozo za kutosha kidha kumpendelea mwekezaji mmoja, yani tuue viwanda vitano kwa ajili ya kumtajirisha dangote...hii haiwezekani

Mazingira, kodi na incentives zote ziwe fair kwa wazalishaji wote wa cement la sivyo tutaua viwanda vyetu vya wazawa na kukuza cha mgeni ambaye halipi kodi na kila kitu anataka kiwe bure
Acha kutoka povu punguza bei ya bidhaa zako. Dangote ni game changer, anastahili kusikilizwa na serikali kuliko nyinyi mliokuwa mnawaumiza wananchi.
 
Hii ni too much, kwa madai ya serikali hatuwezi ku deal na mfanyabiashara huyu

Nitashangaa sana kama serikali itakubaliana na matakwa ya dangote cement, itakuwa ni kuua moja kwa moja viwanda vingine vya cement hapa nchini vilivyofanya uwekezaji wa kutisha na ku struggle kwa miaka mingi mpaka kukua.

Hii iwe fair game, fair competition siyo kuwafunga wengine kwa ma kodi na yozo za kutosha kidha kumpendelea mwekezaji mmoja, yani tuue viwanda vitano kwa ajili ya kumtajirisha dangote...hii haiwezekani

Mazingira, kodi na incentives zote ziwe fair kwa wazalishaji wote wa cement la sivyo tutaua viwanda vyetu vya wazawa na kukuza cha mgeni ambaye halipi kodi na kila kitu anataka kiwe bure
Nataka sitakj,wadanganyika ni wajinga mmeomba wawekezaji,limekuja jitu lenye mipesa mnaliogopa mnaanza kulipiga vita,kama anapewa bure kwanini na nyinyi msiombe kupewa bure,vita na dangote vya nini,ukweli ni kwamba dangote ni tishio kwa viwanda vingine vya simenti,ushauri mzuri ni kuwa,enyi wakina Twiga,Tembo,simba,Nyati,Rhino tafutane kazi nyingine ya kufanya,mnaweza kuanzisha viwanda vya juice,biscut,maji na soda,kubalini huu ushauri sasa ,hata mkiungana bado dangote atawasomesha namba,wengi wenu mnamikopo benki mtajuta,mlizani nyinyi hamtasoma namba,namba inasomwa kwa zamu#%&467800044$%56-%%"!6&
 
Hii ni too much, kwa madai ya serikali hatuwezi ku deal na mfanyabiashara huyu

Nitashangaa sana kama serikali itakubaliana na matakwa ya dangote cement, itakuwa ni kuua moja kwa moja viwanda vingine vya cement hapa nchini vilivyofanya uwekezaji wa kutisha na ku struggle kwa miaka mingi mpaka kukua.

Hii iwe fair game, fair competition siyo kuwafunga wengine kwa ma kodi na yozo za kutosha kidha kumpendelea mwekezaji mmoja, yani tuue viwanda vitano kwa ajili ya kumtajirisha dangote...hii haiwezekani

Mazingira, kodi na incentives zote ziwe fair kwa wazalishaji wote wa cement la sivyo tutaua viwanda vyetu vya wazawa na kukuza cha mgeni ambaye halipi kodi na kila kitu anataka kiwe bure

Hii hoja yako haiingii kichwani. Haiwezekani mtu akafunga safari ya kutoka alikotoka akaja kuchom $500 M bila kuwa na mipango ya uhakikai. Kuna mengi hayasemwi kwenye hili. Huyu mtu si mwendawazimu na mtu anaakili ndio aliupta utajiri wake alikoupata.
 
Back
Top Bottom