Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Kichaa cha mvaa suti ni hatari kuliko kichaa cha mtembea uchi .
JF ni noumahUnamjua Yakubu unayemsifia au? huyu alikuwa mtangazaji wa BBC. Amepata elimu ya kuunga unga na kuja kuanzisha Kampuni ya uwakili ya kitapeli. Kampuni ikachukua zabuni kubwa kwenye mashirika kama NSSF akila pamoja na Dr. Dau, Othman wa TISS na Jaji Mkuu msaafu yule white wa Tanga. Huyu naye fisadi tu kama boss wake Ndugai. Hata zile bill za matibabu feki India huyu ndiye engineer. Tutawalipua muda si mrefu.
Hv kwann bunge lisikatae kupitisha uamuzi ule ila lililipuka tu na kusema "NDIOOOOOO" hapa inabdi asilaumiwe Ndugai tu mkuu think beyond horizonWewe unaishi Ulimwengu wa kwako pekee yako.
Awali, kabla hata CAG hajahojiwa na kamati ya Bunge, Spika huyu alitamka kuwa Bunge halitafanya kazi na CAG. Watu wakaanza kuhoji ni lini Bunge lilipitisha uamuzi huo?
Mwishowe amelitumia Bunge dhaifu kupitisha maamuzi ambayo tayari yeye Ndugai alikwishayafanya. Na hii inathibitisha jinsi Bunge lilivyo dhaifu.
I think we have the most hopeless and weak Parliament in this Globe.
Hawana hoja za msingi. Maamuzi yametolewa na Kamati na kupelekwa Bungeni na kuhidhinishwa na Bunge lkn leo mtu anakuja anakwambia oooh Ndugai hana mamlaka ya kukataa kufanya kazi na CAG.Hakuna hata mmoja anayehoji kamati iliyomhoji CAG kamati ambayo huyo Ndugai sio mjumbe.Hv kwann bunge lisikatae kupitisha uamuzi ule ila lililipuka tu na kusema "NDIOOOOOO" hapa inabdi asilaumiwe Ndugai tu mkuu think beyond horizon
MiM
SanaaaKichaa cha mvaa suti ni hatari kuliko kichaa cha mtembea uchi .