Sakata la Airtel na TTCL: TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao 100%

Kila dili chafu iliyokuwa inafanywa na serikali CCM ilioata mgawo.

CCM ilikuwa huko ambako chadema wapo sasahivi ambapo mbowe anafuata nyendo za kina kagame museven nkurunziza malkia elizabeth na mugabe kwa kuishi muda mrefu madarakani.

Pia nadhani CCM kipindi hcho ilikua kule ambako asilimia 90 ya wabunge wa viti maalum wanatokea kanda moja ya Kaskazini.

Na mwisho kabisa CCM nadhani ilikua inatapika matapishi ambayo kuna watu waliyakimbilia na kuyafakamia wakijua azamcola.

Nadhani umejua CCM walipokua wakat huo sasa wapo LIVE kuijenga nchi
 
Hayaaaaaaaaaaa sasaaaaa, some people wataanza kufa kwa presha... Kamata mwizi man..!!

Almost Game Over..!!

TTCL ndio wamiliki halali 100% wa Airtel..!! Airtel ni 100% ours..!! Kuna watu wameichezea hii nchi yetu hadi shetani anashangaa.. Ni unyama aisee!!

Fireee..!!

Umeisoma hiyo habari? TTCL wanasema wao si wamiliki ila wanataka warudishiwe Airtel yao. Nimechanganyikiwa kabisa.
 
maelezo yanafata ama?
Maelezo yapo kama akili ya kichaa au shamba la bangi.Ni kama wamekaririshwa waje kusema .Kiufupi hii ni taarifa ya hovyohovyo.Eti mtu anajijua ,mara asiyejulikana mara hatutaki akipita barabarani anyoshewe kidole.Kama alitenda haramu kwanini muogope yeye kunyooshewa kidole? Ni vururuvururu tu hakuna lenye mashishiko.
 
Mwanahabari Huru Mimi nilifikiri watu wasiojulikana ni wale wanaong'oa watu meno tu. Kumbe hata Serikali mzima inakubali kuuza Shirika lake tena shirika Muhimu kwa mtu asiyejuilikana? Hii nchi sina hamu tena hata ya kuisikia.

Utaingiaje Mkataba na Mtu usie mjua? Pengine ni adui yako? Pengine ni jasusi wa Kagame?
 
Swali la msingi, CCM walikuwa wapi wakati vibaka wanaifirisi nchi kila kona? ni vizuri tukaanza kuangalia kiini cha tatizo kabla ya kukimbilia matibabu.
Walikuwa wapi wabunge wa vyama vyote wakati haya yanatokea? Zile kamati zao za kusimamia na kukagua hesabu za mashirika ya umma zilikuwa wapi? Hizi kamati ni za wabunge toka vyama vyote.
Walikuwa wapi mawaziri vivuli wa wizara husika?

Tukumbuke wabunge wa vyama vyote wanawajibu wa kuisimamia serikali.
 
Walikuwa wapi wabunge wa vyama vyote wakati haya yanatokea? Zile kamati zao za kusimamia na kukagua hesabu za mashirika ya umma zilikuwa wapi? Hizi kamati ni za wabunge toka vyama vyote.
Walikuwa wapi mawaziri vivuli wa wizara husika?

Tukumbuke wabunge wa vyama vyote wanawajibu wa kuisimamia serikali.
Zitto atakuwemo humu mkuu.
 
Nchi inaupungufu mkubwa wa wazalendo... watu wenye nia ya dhati ya kuona nchi ikipiga hatua wengi wana short term mindset hata hayo maelezo yao hayaeleweki na yamekuja baada ya kushtuliwa......

"bado sielewi ni mwendokasi au mwendo usio na foleni"
 
Yaani najaribu kujilazimisha kuelewa lkn nagonga mwamba,sina elimu ya hisa kwahiyo naona nyotanyota.wenye elimu ya hisa ptezident yupo sahihi juu ya hii issue ya celtel?huo waraka ulioandikwa kwenye JF una point na ni kweli tumezulumiwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom