Sakata la Airtel na TTCL: TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao 100%

Si walitwambia AIRTEL inapaswa imilikiwe na TTCL 100% kwa kuwa tumeelezwa kuwa mwekezaji alipata shares kimagumashi??, Sasa hii ya leo ya serikali kujitapa kumiliki only 49% badala ya 100% inatoka wapi?
Mkuu acha kutumiwa na Ma Beberu,Kuwa Mzalendo

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom