FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Mbona haya ni mazingombwe kabisa?
Wanaanza kumuelewa Magufuli
ushahidi wa kitoto. TAKUKURU imeukataaAcha uongo hujui hao wanaorudi wananunuriwa kwa rushwaaa.
Ref; ushahidi wa Nasari na Lema Takukuru.
Tafakari!@
Hapo ndio mwisho wa kiki soon tutarudi bandarini kuokota magari au airport kuokota hela,maana ukifukua kaburi la mwenzako na lako litafukuriwaNdiyo na mama Ana mkapa ndiyo aliwaleta Wachina wa Huwaei huko TTCL huku Amri toka juu ikimwamuru Mwandosya kusaini mikataba yote ya Uwekezaji TTCL.
Hapa wa buku saba watapita kimya,huku wakisema zidumu fikra za Mwenyekiti wa ccm mileleHutampenda wala kumwamini Siku ukigundua kuwa ununuzi wa ndege za Bombadia kuna Ufisadi bei harisi ya ndege ipo chini ni Wajanja akina Bashite na wenzao walipiga 10% pia kuna bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, ni mzalendo kwenye Dili ambazo hakupata mgao, kwenye uuzaji nyumba za serikali alijiuzia nyumba kibao kinyume cha sheria akagawa kwa mdogo wake na hawala ambao hawakuwa watumishi wa Umma, kwenye kivuko cha 1978 kibovu alikinunua bilion 8 lakini kivuko kipya cha Baresa kilinunuliwa kwa bilion 5 tu,
Hivi kishika uchumba chetu tulishapewa?Hizi ndio habari sasa sio zile sinema za makinikia.. watajwe wote waliohusika na huu upuuzi tuwajue
Anatumikia mizimu na waganga wa kienyeji. Ndio wanaompa masharti na maagizo ya kutawala, kuteka, na kuua watu.JPM kaletwa na Mungu kulikomboa Taifa kutoka mikononi mwa wezi
Kama huyo mtu wa TTCL ndiyo alikuwa anaongea kwa mtiririko huo basi inapaswa afukuzwe kazi..
TTCL inadaidawa dola bilioni 76?
Au wamenukuliwa vibaya.!
MAZWAZWA tu ndiyo wanamuelewa huyu jizi, muongo, mtoa rushwa na fisadi. Kwani wakati uharamia huu ukiendelea miaka nenda miaka rudi ndani ya Serikali si na yeye alikuwa part and parcel ya Serikali!? Alitoa hata mguno? Jibu unalijua na yeye alikuwa busy kuwafisadi Watanzania. Na ufisadi huo anauendeleza hadi sasa kwa kuchota trillions hazina bila idhini ya Bunge.