Sakata la Adv.Mwale la Bllionea pia Adv. Paul Mawalla naye alihusika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la Adv.Mwale la Bllionea pia Adv. Paul Mawalla naye alihusika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, Aug 10, 2011.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Nimepata Tetesi kuwa Issue kubwa kuhusi hizo Billion zilizo kutwa kwa Account ya Adv. Mwale ilikuwa ni Issue ya Kuuuza Aridhi na zilitumwa na wateje kutoka huko USA na Muhusika mkuu alikuwa ni Adv. Nyaga Paul Mawalla, Inavyosemekana baada ya Mwale na mawalla kupokea hiyo Deal wakajiuliza nani asimamie show basi Mwale akajitosa kusimamia show huku na kule pesa zika tumwa zikaja kama kawaida CRDB Bank yetu inayo husika na shutuma nyingi za kupitisha pesa kimya kimya kwa mafungu makubwa ilihusika na ndipo hapo zilipo kuja kubumburuka Nyaga Paul Mawalla aka kaa mbali na kukana kabisa kuwa hausiki na kuuza viwanja wakati swala liko wazi kuwa Adv. Nyaga Mawalla moja kwa moja hujihusisha na uuzaji wa aridhi na anamaeneo mengi sana mfano pale Arusha Burka, Dar-goba,Meatu, nakadharika.

  Katika sakata hilo la Billion za Mwale limepelekea hadi Baadhi ya wafanya kazi wa CRDB Bank kuiitwa na kuhojiwa kituo cha Police.

  My Take:

  Wanasheria wengi wao esp Huko Arusha nadhani hiizi deal za viwanja wana husika sana, TAKUKURU iwachunguze na Halimashauri za Miji zitupe details za ukweli wakina nani wana Hold maeneo makubwa na esp kwa Wanasheria Tu ndio Mtajua wanasheria wetu kwa kiasi gani wanatuhujumu nchi yetu.

  Hii sasa naanza kuamini kuwa Nchi yetu na serikali yetu ndio imeifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 7 Africa kwa serikali kuwa corrupt kwa kuuza Aridhi kwa wageni esp wazungu kutoka USA.

  Karibuni kuchangia
   
 2. K

  Karry JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tunashukuru mdau kwa kutupa mwanga, bado natafakari nitarudi tena hapa kwa mchango wangu
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,228
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Yaya shi, nakanagah. Sikubali ng'ooooooooo. Naona mtoa mada anataka kumsafisha kiaina. Natamani mod angeunganisha hii post na zile za mwanzo ili kuwa na mtiririko mzuri. Hoja ya awali ni kuwa Adv amekuwa akitetea waharifu wa unyanganyi kwa kutumia siraha. Hivyo huenda akawa na mgao ktk unyanganyi.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hii soo!!
   
Loading...