Ndugu Tanzania wale wote wanaofikiria serikali imefanya jambo sahihi na kwa kufata taratibu zote katika sakata la Madini (makinikia) wajue kwamba ipo siku jambo hili litafikia mwisho. for sure! na kwa jinsi ambovyo kuna gharama zimekua involved kuna isssue ya kulipana, na mwisho wenyewe kuna upande UTAPOTEZA na kuna upande utakao SHINDA sasa tujiulize ikiwa ACACIA wakapatikana hawana kosa wamelitenda ndani ya mkataba ,Serikali itakuwa na ujumbe gani kwa wananchi? je bungeni nako ambako watu wamechangia watakuwa na mawazo gani kutokana na outcomes? Ikiwa Serikali ikaibuka kidedea je wale wote wanaokosoa hii hatua ya Rais watakua na jukwaa gani tena pa kusemea? Vyovyote vile viwavyo watu historial zitawahukumu, mikataba ya madini haikuwekwa na wakoloni Tumeingia sisi wenyewe, lazima mwisho tuwe jasiri kukubali tunapokosolewa na tujisahihishe. Bungeni mtu anajadili kama vile mikataba haikuwekwa na sisi tena tunaojiita wazalendo lakini siku zaja tutanjua yupi ni Mzalendo kati ya Tundu lissu kwa upande mmoja na wabunge wa ccm na mashsbiki wao. Siku zaja.