sikushangai ila kazi uliyopewa inakuharibu kwani inasababisha kila kitu kutegemea kuambiwa nini cha kufanya.kweli nimeamini kitu usipokitumia muda mrefu kinadhooofika.wewe uwezo wako umedhoofika sana hebu katafute ushauri kwa Dr tena akupe cha kuja kuandika.
swala la tuhuma kuthibitisha kama ni za kweli au propaganda ni muhimu kwani mnataka kuleta siasa kwenye vitu vya msingi katika taifa hili.
Kila siku tuhuma juu ya TISS na TISS wanakaa kimya Dr anatakiwa aeleze na wapi TISS imetoboka na sio kupiga propaganda tu majuukwani.
kaka kunahaja ya kila tuhuma kupatiwa majibu isijekua kama yale na nakupa siku kumi na nne then kimya.
Sio kazi ya Dr kenda vyombo husika kujieleza yeye keshatamka kwenye vyombo vya habari kinachotakiwa ni hao TISS wakamkamate wamhoji wapate ukweli, na kwa taarifa yako hawawezi kumkamata au kumhoji kabla hawajampandisha Lwakatare Mahakamani. Swali ni kwamba wanasubiri nini wasimpandishe mahakamani eti wanasema uchunguzi haujakamilika, uchunguzi upi huo. Wanamshikilia mtu huku hawajui wanamshikilia nini. Tatizo PolisCCM wakiamriwa kitu wao ni kutekeleza tu hata hawaangalii nini kitatokea mbeleni. Walifanikiwa na majambia ya CUF safari hii inakula kwenu na mpaka 2015 omba omba wa magogoni ataungana na Uhuru Kenyata na Rutho The Heig. Yetu macho na masikio.