#COVID19 Sakata Askofu Gwajima dhidi ya Bunge, Mawaziri na Baadhi ya Wananchi limechora Uhalisia wetu

Ninani kakudanganya kuwa Uaskofu unasomewa?kasome maandiko (1timotheo3:1-7)Tito 1:7-8)

Wewe nawe ni wale wale. Kwa makusudi umeshindwa kujibu swali lake la pili. Ni nani alimpa. Uaskofu ni wakfu anaopatiwa mtu. Hakuna padri, shekhe, mchungaji anayejipa wakfu huo!! Hata manabii na mitume hawakujibu wakfu huo!!

Uaskofu au ushekhe ni madaraka! Bado tusaidie katika swali letu - ni nani alimtia wakfu Gwajima??
 
Hua mnasoma wapi kwenye Biblia? Sina maana kwamba naamini kwamba Gwajima ni askofu lakini pia sipingi uaskofu wake kwa grounds ambazo wengi mnazitoa, toeni maandiko kwamba ili uwe askofu unatakiwa ufanye ABCD kwa reference ya maandiko ya kitabu anacho kiamini.
 
Back
Top Bottom