sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Habari za hasubuh wadau? ebu kwa pamoja tufikirie dhidi nchi yetu tangu ilipo pata uhuru, dhidi ya maendeleo tuliyonayo, Ufisadi ulijitokeza, na Tanzania tunayoitaka.
Binafsi nimejiwa na wazo kuwa ili tuweze pona dhidi ya wizi na uongozi wa kimabavu kuna haja ya kuongozwa na kizazi kilichozaliwa baada ya uhuru. hawa wazee watuachie nchi yetu vijana nasi tutumie Elimu zetu kuliongoza taifa letu ili nasi tuweze kuwaandalia watoto wetu urisi ulio mwema.
wadau mnasemaje?
Raisi 2020, anatakiwa kijana na si wazee tena!