SAIKOLOJIA: Wema wa mwanzo hufunikwa na ubaya wa mwisho. (Mfahamu Dr. Fitz Haber mshindi wa Nobel prize 1918)

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
18,352
2,000
Mkuu wewe una u smart gani kwa mfano. Hayo ya reaction ume cremisha ndo unajiona uko smart aisee
Usitulaumu kwa kuwa smart jilaumu kwa kuwa dull. Every little action there is reaction. Kumbuka hata moto mkubwa huanzishwa kwa cheche pia.
 
Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,130
2,000
Even noticing some issues which normal brains like yours think its a normal thing. it shows my smartness. Cant you see that? Of course you couldnt.i shouldnt blame you.

Crenisha maana yake nini madam!do you know what are keen and investigative eyes?sidhani 😁😁😁

Mkuu wewe una u smart gani kwa mfano. Hayo ya reaction ume cremisha ndo unajiona uko smart aisee
 
Pearce

Senior Member
Dec 15, 2018
145
250
Even noticing some issues which normal brains like yours think its a normal thing. it shows my smartness. Cant you see that? Of course you couldnt.i shouldnt blame you.

Crenisha maana yake nini madam!do you know what are keen and investigative eyes?sidhani
Jina lenyewe kiduku lilo limetosha kujua huyu ni mtu gani. Nani kakuambia kiingereza/lugha ndio kipimo cha akili
 
Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,130
2,000
Sijui wewe unambie nani amekwambia kiingereza ni kipimo cha akili? Lakini unajua types of intelligencies? Language.... Ana ability to master any language its one of intelligence. So kama utaenda china au ukajifunza kisukuma kwa haraka uka master wewe intelligent kuliko mwingine ambaye ameshindwa. Haya ungeyaacha achia wenye uelewa.

Jina lenyewe kiduku lilo limetosha kujua huyu ni mtu gani. Nani kakuambia kiingereza/lugha ndio kipimo cha akili
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
18,352
2,000
Wewe ni complicator wa mambo ya kipuuzi yasiyo na kichwa wala miguu ndo wajiita smart. Yani mwenzako kaandaa bandiko zuri minor issues za r na l ndo umeona. It seems umekuwa kwenye jamii ya viherehere isiyo ona jema wao ni kukosoa tu. Too much negativity
Even noticing some issues which normal brains like yours think its a normal thing. it shows my smartness. Cant you see that? Of course you couldnt.i shouldnt blame you.

Crenisha maana yake nini madam!do you know what are keen and investigative eyes?sidhani
 
Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,130
2,000
😂😂😂😂😂 mi napenda tu mambo yawe perfect. Watu wawe makini. Na pia wawe na akili. Nachukia watu hopeless na wasio serious

Wewe ni complicator wa mambo ya kipuuzi yasiyo na kichwa wala miguu ndo wajiita smart. Yani mwenzako kaandaa bandiko zuri minor issues za r na l ndo umeona. It seems umekuwa kwenye jamii ya viherehere isiyo ona jema wao ni kukosoa tu. Too much negativity
 
Pearce

Senior Member
Dec 15, 2018
145
250
Sawa dada kirunzi sijui kurunzi. Wewe endelea kuunga mkono juhudi za dada yako cariha sijui carina.
Kama unajua lugha zaidi ya 5......sababu huku waafrika asilimia kubwa anajua lugha zaidi ya 3 Kiswahili vilugha vya kwao na kiingereza mashuleni na vyuoni mimi sijaona jipya kwako zaidi ya kiherehere tu kinakusumbua

Maana nimepitia threads zako hamna lolote tu zaidi ya kiherehere na kudandia treni kwa mbele
 
geesten66

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,387
2,000
Bwahahahahaha bwahahahahaha
Kama unajua lugha zaidi ya 5......sababu huku waafrika asilimia kubwa anajua lugha zaidi ya 3 Kiswahili vilugha vya kwao na kiingereza mashuleni na vyuoni mimi sijaona jipya kwako zaidi ya kiherehere tu kinakusumbua

Maana nimepitia threads zako hamna lolote tu zaidi ya kiherehere na kudandia treni kwa mbele
 
Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,130
2,000
Kama lugha kuna lugha unaita vilugha. Basi una tatizo kubwa kuliko nlivyofikiri. Hapo nashindwa kukulaumu maana tayari nshafahamu tatizo ni nini.
Halafu unasema huku WAafrika asilimia kubwa ANAjua...

Kumbe hata kiswahili hujui vizuri.

Education Mentor

JF-Expert Member
Oct 26, 2016
393
1,000
Kama lugha kuna lugha unaita vilugha. Basi una tatizo kubwa kuliko nlivyofikiri. Hapo nashindwa kukulaumu maana tayari nshafahamu tatizo ni nini.
Halafu unasema huku WAafrika asilimia kubwa ANAjua...

Kumbe hata kiswahili hujui vizuri.
Mkuu hakuna anayekamilika au kujua kila kitu Msamiati "vilugha" alioandika Pearce ni Kiswahili kamili kabisa watanisaidia waliosomea morphology ya kiswahili
 
Android

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
971
1,000
unapenda uandishi lakini uandishi haukupendi mkuu.

sijasoma hadi mwisho.

kichwa cha habari cha kuvutia ila mpangilio mbovu.

wala haina maneno ya kumshawishi mtu kusoma hadi mwisho!
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
13,513
2,000
Mkuu wengi wangefaidika kama ungekua unaleta mada zako kiufupi ufupi lakini ni mwendelezo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom