mactal
Member
- Nov 14, 2016
- 71
- 95
Acha kujilinganisha na wengine,Full stop!
Sjawah ata kujaribu.. sa sjui itakuaje nkitestVuta,jani

Utakua aliveSjawah ata kujaribu.. sa sjui itakuaje nkitest
Sko hvoAcha kujilinganisha na wengine,Full stop!
Nafkr udhaifu wangu ndo huo sasaSocialize mkuu,kwenye nyumba za ibada,michezo n.k.labda ungefafanua kidogo nature ya maisha yako ungepata msaada mzuri zaidi,ingawa humu JF watu tuko tofauti,comments nyingine unaweza ukawa unazipotezea...
Tuko tunafanana..sasa wew hyo hali umeweza vipi kuimudu ili kufurahi ukiwa haiHata Mimi npo hvyo,nawaonea wivu wanaokufa,nilitaman corona inifyeke lakini nayo ikapotea,
Hii inshu ya kuona hakuna jipya tena kwangu hapa duniani,ilianza pale nilipojichanganya katika maisha kwa kuchagua kozi isiyo na inshu nkakosa ajira,nikawa na maisha magumu kila siku kuwaza hadi usingizi nakosa.
Lakini ajabu ni kuwa sahivi niko vizur kiuchumi,nakpato cha 600,000 kwa mwezi lakini bado najiona sina kingine hapa duniani heli kuondoka,ila napata usingizi vizuri na sina mawazo kama zamani
duniani kuna viumbe wa ajabu sana aiseeHata Mimi npo hvyo,nawaonea wivu wanaokufa,nilitaman corona inifyeke lakini nayo ikapotea,
Hii inshu ya kuona hakuna jipya tena kwangu hapa duniani,ilianza pale nilipojichanganya katika maisha kwa kuchagua kozi isiyo na inshu nkakosa ajira,nikawa na maisha magumu kila siku kuwaza hadi usingizi nakosa.
Lakini ajabu ni kuwa sahivi niko vizur kiuchumi,nakpato cha 600,000 kwa mwezi lakini bado najiona sina kingine hapa duniani heli kuondoka,ila napata usingizi vizuri na sina mawazo kama zamani
Naishi nayo hvo hvo,furaha yangu kwasasa nikuona naweza fanya chochote hasa inshu ndogo ndogo znazohusiana na pesaTuko tunafanana..sasa wew hyo hali umeweza vipi kuimudu ili kufurahi ukiwa hai
Hii inasaidia nini mkuu...?Chukua chumvi ya mawe na ndimu ogea ila usisahau kunuia
oga kutwa mara mbili (2)
Pole sana! Hata mm hii hali inanitokea sometimes ila napiga moyo konde then naangalia vitu ambavyo sijafanikiwa. Hivyo vitu vinanipa hari ya kupambana zaidi na zaidiHata Mimi npo hvyo,nawaonea wivu wanaokufa,nilitaman corona inifyeke lakini nayo ikapotea,
Hii inshu ya kuona hakuna jipya tena kwangu hapa duniani,ilianza pale nilipojichanganya katika maisha kwa kuchagua kozi isiyo na inshu nkakosa ajira,nikawa na maisha magumu kila siku kuwaza hadi usingizi nakosa.
Lakini ajabu ni kuwa sahivi niko vizur kiuchumi,nakpato cha 600,000 kwa mwezi lakini bado najiona sina kingine hapa duniani heli kuondoka,ila napata usingizi vizuri na sina mawazo kama zamani
kama uko dar nicheki,ntakuonyesha jinsi ya kufurahia maisha.Tuko tunafanana..sasa wew hyo hali umeweza vipi kuimudu ili kufurahi ukiwa hai
Inaleta Amani na kuondoa vitu vya kichawi vivyokuzongaHii inasaidia nini mkuu...?
kunywa pombe.Hata Mimi npo hvyo,nawaonea wivu wanaokufa,nilitaman corona inifyeke lakini nayo ikapotea,
Hii inshu ya kuona hakuna jipya tena kwangu hapa duniani,ilianza pale nilipojichanganya katika maisha kwa kuchagua kozi isiyo na inshu nkakosa ajira,nikawa na maisha magumu kila siku kuwaza hadi usingizi nakosa.
Lakini ajabu ni kuwa sahivi niko vizur kiuchumi,nakpato cha 600,000 kwa mwezi lakini bado najiona sina kingine hapa duniani heli kuondoka,ila napata usingizi vizuri na sina mawazo kama zamani
Umefikia hatua mbaya sana! Tafuta wataalamu!! Nasikitika sina contacts zao.Hata Mimi npo hvyo,nawaonea wivu wanaokufa,nilitaman corona inifyeke lakini nayo ikapotea,
Hii inshu ya kuona hakuna jipya tena kwangu hapa duniani,ilianza pale nilipojichanganya katika maisha kwa kuchagua kozi isiyo na inshu nkakosa ajira,nikawa na maisha magumu kila siku kuwaza hadi usingizi nakosa.
Lakini ajabu ni kuwa sahivi niko vizur kiuchumi,nakpato cha 600,000 kwa mwezi lakini bado najiona sina kingine hapa duniani heli kuondoka,ila napata usingizi vizuri na sina mawazo kama zamani
Hapana. Kuna jamaa yangu alikuwa na depression ya aina hiyo. Akiona watu wamebeba jeneza anatamani sana angekuwa yeye mle ndani, akiona kichaa amejilalia stendi, anamtamani sana! Akajaribu kutumia pombe Kali, halo ndiyo ikawa inakuwa mbaya zaidi, maana ilikuwa inampa courage ya kujiua!kunywa pombe.