Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Naishi nayo hvo hvo,furaha yangu kwasasa nikuona naweza fanya chochote hasa inshu ndogo ndogo znazohusiana na pesa
tatizo la @Oozg Tz huyu mwamba hakua na pesa hapo awali alipozipata za kumudu mahitaji yake ya hapa na pale marafiki nao wakajitokeza wa kumpa kampani akajikuta maisha yanarejesha amani yake

pesa imerejesha marafiki na kumudu baadhi ya mahitaji yake ambayo.hapo awali hakuweza kuyamudu
 
Hapana. Kuna jamaa yangu alikuwa na depression ya aina hiyo. Akiona watu wamebeba jeneza anatamani sana angekuwa yeye mle ndani, akiona kichaa amejilalia stendi, anamtamani sana! Akajaribu kutumia pombe Kali, halo ndiyo ikawa inakuwa mbaya zaidi, maana ilikuwa inampa courage ya kujiua!
tatizo alikua anakunywa na nani, na alikua anakunywa wapi.. kuna company ukienda kunywa nazo liquid,kidimbwi boardroom n.k huwezi jiua trust me!
 
Sasa aliponaje
 
1. upate mpenzi, hii huwa inasaidia sana kuwa na mtu wa kuongea nae, kujuliana hali, n.k na ukipata mtoto maisha yako yataongezeka kusudi la kuendelea kuishi.

2.Jichanganye na watu, hizi stori na kujuliana hali zinasaidia sana na hata unapopata tatizo kuna mtu wa kukufariji.

3.Tafuta kazi, hata kama wewe ni mhitimu wa chuo usijifungie ridhiki kwa kusubiria kazi ya taaluma uliyosomea, kazi siku hizi kupata ni ishu nzito maana wasomi wapo kibao wenye sifa za kupata kazi ila kazi chache, Unaweza kujiajiri kwenye upishi maana hii biashara uhakika wa kupata chochote ni mkubwa sana, ila pia waweza kujifunza na kufanya kazi nyingine kama ususi, ushonaji, ufugaji, kilimo, n.k. ukikaa hivi hivi utaboreka na kuanza kupata mawazo ya kuboreka na maisha.

4.Usijiongize kwenye vilevi kudhani kwamba ndio vitatatua hali yako, hapa utakuwa teja wa kilevi,

5.Fanya mazoezi, ikifika hata jioni we kimbia tu au kufanya mazoezi mengine, hii itakupunguzia sana mawazo na unaweza pata kampani mpya unavyotoka.
 
tatizo alikua anakunywa na nani, na alikua anakunywa wapi.. kuna company ukienda kunywa nazo liquid,kidimbwi boardroom n.k huwezi jiua trust me!
Yeye hakupenda company! In actual fact, nilipogundua hali hiyo nilijitahidi sana sana kuwa karibu naye. He was my friend, na alinipenda sana! Na from that, alipotaka kwenda sehemu yoyote alinipigia simu tunakwenda pamoja? The situation subsided! Thank God!
 
see!? tatizo lilikua hapo, upweke, pombe na company hua inafukuza upweke kwenda makilometa huko..
 
Nimekuwa nikiwaza sana, kuna watu wengi Hayati Dkt. Magufuli alitugusa moja kwa moja kwenye maisha yetu. Kifo chake kilikua jambo la ghafla na binafsi sikutegemea. Kuna hali ya mauvmivu na kukata tamaa naihisi katika uwepo wangu.

Je nifanyeje ili nirudi kwenye hali ya awali na nichape kazi bila huzuni? Mbaya zaidi ni kuona na kusikia watu wengine wakimsema vibaya kupitiliza hayati Dkt. Magufuli, ndio nakata tamaa zaidi.

Najua kuna walioumia wakati wa uongozi wake, ni sawa kabisa kusema yao ya moyoni, lakini kweli hakuna wa kumtetea Dkt Magufuli kweli?

Kama mtu niliepata msiba wa mtu muhimu kwangu nifanyeje ili hali yangu ya afya ya akili irudi kama awali? Natanguliza shukrani.
 
  • Thanks
Reactions: 5ty
Hii mada nilipata kuisoma Twitter kwenye account ya Maley(Funjojr) na ikachangiwa na watu wengi sana akiwemo Fatma Karume na Maria Sarungi ingawa uwakilishaiji wake aliutoa kimasihara masihara ila nikapata kujifunza mengi sana.

Kama binadamu kuna changamoto nyingi tunazopitia na kila mmoja ana namna ya kukabiliana nazo kitu ambacho usipokua makini unaweza kuingia kwenye matatizo makubwa sana kama ya kisaikolojia nk.

Lakini kubwa la kutambua ni Mapito tu na mambo yatakaa sawa.Munaweza kwenda kujisomea zaidi kwenye account tajwa hapo juu nakuona michango ya Watu mbalimbali jinsi ya kukabiliana nalo naamini utaondoka na kitu.

Nimewaza tu jinsi hali waliyokua nayo Waukraine kipindi hiki cha vita,wanavyokimbia miji,wanavyotengana na wapendwa wao,ukija huku kwetu jinsi watu wanyohangaika na malipo ya Kodi,ada za shule,kukosa ajira,kesi,usaliti kwenye mahusiano na mengine mengi kikubwa kila mmoja anachangamoto zake kiasi kwamba ukipata tatizo usihisi wewe ndio mnyonge sana tujitahidi tu kuomba sana kila kitu kitakaa sawa.

(Binafsi siko sawa kwa sasa nimekumbuka iyo mada nikaona niilete hapa tupate kujifunza sababu najua hali tunazopitia katika maisha)

Asanteni.
 
Haupo serious Kabisa huyo muuaji hafai kukumbukwa hata sekunde moja
Nimekuwa nikiwaza sana, kuna watu wengi Hayati Dkt. Magufuli alitugusa moja kwa moja kwenye maisha yetu. Kifo chake kilikua jambo la ghafla na binafsi sikutegemea. Kuna hali ya mauvmivu na kukata tamaa naihisi katika uwepo wangu.

Je nifanyeje ili nirudi kwenye hali ya awali na nichape kazi bila huzuni? Mbaya zaidi ni kuona na kusikia watu wengine wakimsema vibaya kupitiliza hayati Dkt. Magufuli, ndio nakata tamaa zaidi.

Najua kuna walioumia wakati wa uongozi wake, ni sawa kabisa kusema yao ya moyoni, lakini kweli hakuna wa kumtetea Dkt Magufuli kweli?

Kama mtu niliepata msiba wa mtu muhimu kwangu nifanyeje ili hali yangu ya afya ya akili irudi kama awali? Natanguliza shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom