Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili)

Education Mentor

JF-Expert Member
Oct 26, 2016
393
1,000
Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.)

1594648925990.png

Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho.

Katika sehemu ya kwanza tuliangalia

Tafsiri ya Anxiety Disorder,

Tofauti ya wasiwasi wa kawaida na ule tumeuita sugu (Anxiety disorder)

Aina ya matatizo ya saikolojia yanayosababishwa na Anxiety disorder .

 • Dalili za wasiwasi kama gonjwa la akili au la kisaikolojia ni zipi?
Mapigo ya moyo kwenda haraka au kuzidi, Kupumua au kuvuta pumzi haraka, Kukosa utulivu kifikra na Kukosa usingizi

 • Kipi kinasababisha tatizo hili?.
Zinaweza kuwa sababu nyingi sana lakini ambazo tiyari zimefanyiwa utafiti ni hizi:-

Kurithi

Njia ya kurithi linabaki kama moja ya chanzo cha tatizo hili mfano tunakubaliana moja tu ingawa nimejaribu kuakisi matatizo yaliyopo katika jamii zetu nyumbani Tanzania. Mfano Wiccaphobia tunaona hata leo zipo baadhi ya koo familia hataamii ambazo chochote kikitokea au tatizo basi wanajikusanya wanaamini pengine kuna wabaya wanaowachezea. Hivyo kama babu alikuwa namatatizohilo linapita hadi kwa wajukuu na hali inakuwa mbaya sana.

Mazingira

Kwa njia ya mazingira tunaanzia kwa kupitia malezi nyumbani yanaweza sababisha

Pia kujifunza hii tunasema kuna mambo tunayojifunza kwa kupenda na mengine pasipokujua. Mfano ukipenda sikiliza sana hadithi na kutazama filamu za mauaji na za kutisha.

vyote hivi huwa zinaenda hifadhiwa katika sehemu ya ufahamu wetu inayoitwa unconscious kwahiyo hipo siku vitakuja katika namna ambayo huwezi kufikiri.

Matumizi mabaya ya madawa na vilevi.

Hapa tunasema kama vile caffeine na alcohol na madawa mengine ya Hospitali vinaweza sababisha madhara katika kemikali za kwenye ubongo na kusabaisha matatizo yatakayo athiri utendaji wa homoni mwilini na uwiano wa kemikali katika ubongo..

Kutojipa muda wa kutosha wa kupumzika

Binadamu wote ni roho tunaoishi katika hii miili (ni sawa kusema ni madereva tunaokuwa ndani ya magari ambayo ni miili yetu). Kama magari jinsi tunavyoyapa service na kuyapumzisha na kuna wakati tunaona ndivyo miili yetu na akili pia ili zifanye kazi kwa pamoja na vizuri zinahitaji muda wa kulala vizuri na likizo pia kila baada ya kipindi fulani.

Basi njia gani za asili na unaweza tumia kuanza zitumia kwa njia ya matibabu kwa ajili ya tatizo wa wasiwasi sugu

Tatizo lolote huwa linaanza taratibu kabla halijaota mizizi na kuwa sugu kiasi cha kuhitaji matibabu ya kisasa mahospitalini.

Zifuatazo ni njia za kiasili ambazo unaweza anza tumia kuanzia sasa.

 • Kwanza njia ya imani, unaponza kwa kuamini kuwa utaweza kutoka katika tatizo hili na kuikataa tabia ya wasiwasi, pale unapogundua unakuwekea madhara na kukukosesha kufurahia maisha.
 • Mimi binafsi kama binadamu nshakumbwa na tatizo kama ili lakini nkatumia mbinu ya imani na kusoma mistari inayohusiana na neno “Usiogope”.
 • Jipatie muda wa kutosha wa kupumzika au kupumzisha mwili wako na akili. Inashauriwa na wataalamu kikawaida kama ni mtoto wa miaka 3 hadi 5 basi apumzishwe alale walau masaa 11 hadi 13, kijana mdogo ambae yupo katika barehe 8.5 hadi 9.25 lakini kwa mtu mzima ni masaa 7 hadi 9.
 • Mengine ni kupata muda wa meditating, fanya mazoezi, acha matumizi ya vilevi na uvutaji sigara na pia punguza matumizi sana ya caffeine.

Katika ulaji wa vyakula pia vyakula vizuri sana kwa ajili ya kusaidia kemikali za ubongo na homoni kuanza kurudi vizuri wakati huo muhimu ukifanya hayo juu ili kuponya utendaji wa mwili ukishirikiana na akili yako.

Mfano

Ulaji wa samaki waliopikwa vizuri (salmon)

Ulaji wambogamboga za majani (Chamomile na Turmerit hii ni jamii ya kama vile tangawizi)

Maziwa ya mtindi, Chocolate nyeusi, Maziwa ya mtindi na chai.

+225 623 047 059
cc : battawi , fyddell , CHAULA RICH , Changamka Mirlz B Matthew

====

Sehemu ya Kwanza
 
Lumoge

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
610
1,000
Asante mkuu hasa kwa njia za kuondokana na hali hiyo. Ila nina swali kuna baadhi ya vilevi hasa pombe na bangi matumizi yake yakizidi huwa yanaondoa woga na wasiwasi kwa muda ukiwa katika hali ya kulewa hii imekaaje?
 
martinezstavo

JF-Expert Member
Jun 30, 2020
692
1,000
Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.)

View attachment 1505622

Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho.

Katika sehemu ya kwanza tuliangalia

Tafsiri ya Anxiety Disorder,

Tofauti ya wasiwasi wa kawaida na ule tumeuita sugu (Anxiety disorder)

Aina ya matatizo ya saikolojia yanayosababishwa na Anxiety disorder .

 • Dalili za wasiwasi kama gonjwa la akili au la kisaikolojia ni zipi?
Mapigo ya moyo kwenda haraka au kuzidi, Kupumua au kuvuta pumzi haraka, Kukosa utulivu kifikra na Kukosa usingizi

 • Kipi kinasababisha tatizo hili?.
Zinaweza kuwa sababu nyingi sana lakini ambazo tiyari zimefanyiwa utafiti ni hizi:-

Kurithi

Njia ya kurithi linabaki kama moja ya chanzo cha tatizo hili mfano tunakubaliana moja tu ingawa nimejaribu kuakisi matatizo yaliyopo katika jamii zetu nyumbani Tanzania. Mfano Wiccaphobia tunaona hata leo zipo baadhi ya koo familia hataamii ambazo chochote kikitokea au tatizo basi wanajikusanya wanaamini pengine kuna wabaya wanaowachezea. Hivyo kama babu alikuwa namatatizohilo linapita hadi kwa wajukuu na hali inakuwa mbaya sana.

Mazingira

Kwa njia ya mazingira tunaanzia kwa kupitia malezi nyumbani yanaweza sababisha

Pia kujifunza hii tunasema kuna mambo tunayojifunza kwa kupenda na mengine pasipokujua. Mfano ukipenda sikiliza sana hadithi na kutazama filamu za mauaji na za kutisha.

vyote hivi huwa zinaenda hifadhiwa katika sehemu ya ufahamu wetu inayoitwa unconscious kwahiyo hipo siku vitakuja katika namna ambayo huwezi kufikiri.

Matumizi mabaya ya madawa na vilevi.

Hapa tunasema kama vile caffeine na alcohol na madawa mengine ya Hospitali vinaweza sababisha madhara katika kemikali za kwenye ubongo na kusabaisha matatizo yatakayo athiri utendaji wa homoni mwilini na uwiano wa kemikali katika ubongo..

Kutojipa muda wa kutosha wa kupumzika

Binadamu wote ni roho tunaoishi katika hii miili (ni sawa kusema ni madereva tunaokuwa ndani ya magari ambayo ni miili yetu). Kama magari jinsi tunavyoyapa service na kuyapumzisha na kuna wakati tunaona ndivyo miili yetu na akili pia ili zifanye kazi kwa pamoja na vizuri zinahitaji muda wa kulala vizuri na likizo pia kila baada ya kipindi fulani.

Basi njia gani za asili na unaweza tumia kuanza zitumia kwa njia ya matibabu kwa ajili ya tatizo wa wasiwasi sugu

Tatizo lolote huwa linaanza taratibu kabla halijaota mizizi na kuwa sugu kiasi cha kuhitaji matibabu ya kisasa mahospitalini.

Zifuatazo ni njia za kiasili ambazo unaweza anza tumia kuanzia sasa.

 • Kwanza njia ya imani, unaponza kwa kuamini kuwa utaweza kutoka katika tatizo hili na kuikataa tabia ya wasiwasi, pale unapogundua unakuwekea madhara na kukukosesha kufurahia maisha.
 • Mimi binafsi kama binadamu nshakumbwa na tatizo kama ili lakini nkatumia mbinu ya imani na kusoma mistari inayohusiana na neno “Usiogope”.
 • Jipatie muda wa kutosha wa kupumzika au kupumzisha mwili wako na akili. Inashauriwa na wataalamu kikawaida kama ni mtoto wa miaka 3 hadi 5 basi apumzishwe alale walau masaa 11 hadi 13, kijana mdogo ambae yupo katika barehe 8.5 hadi 9.25 lakini kwa mtu mzima ni masaa 7 hadi 9.
 • Mengine ni kupata muda wa meditating, fanya mazoezi, acha matumizi ya vilevi na uvutaji sigara na pia punguza matumizi sana ya caffeine.

Katika ulaji wa vyakula pia vyakula vizuri sana kwa ajili ya kusaidia kemikali za ubongo na homoni kuanza kurudi vizuri wakati huo muhimu ukifanya hayo juu ili kuponya utendaji wa mwili ukishirikiana na akili yako.

Mfano

Ulaji wa samaki waliopikwa vizuri (salmon)

Ulaji wambogamboga za majani (Chamomile na Turmerit hii ni jamii ya kama vile tangawizi)

Maziwa ya mtindi, Chocolate nyeusi, Maziwa ya mtindi na chai.

+225 623 047 059
cc : battawi , fyddell , CHAULA RICH , Changamka Mirlz B Matthew

====

Sehemu ya Kwanza

Ngoja nkasome kwanza sehem ya kwanza ntaludi baadae
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom