SAIGON Club na siasa za Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SAIGON Club na siasa za Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ugwenousangi, Sep 17, 2012.

 1. u

  ugwenousangi Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Safu karibuni nzima ya kamati kuu ya CCM ni wanachama wa hii klabu ambayo haina hata ofisi wala hakuna anayejua mahesabu yao kule RITA wala BRELA.

  Ofisi zao inasemekana ziko kariakoo lakini ukweli hawana na walipewa mlango na Baaresa. Lakini la ajabu watu wanaotoa maamuzi mazito ya nchi hii inasemekana wanazo kadi za uanachama ambazo inasemekana ziko ki makundi makundi yaani yaani watu wa ndani na nje (nadhani hapo mmenielewa)

  Pia kuna habari kuwa mawaziri waandamizi wa JK mpaka makamu wake na wale viongozi wa Zanzibar nao pia ni wanachama.

  sasa kama Saigon club wana influence kwenye safu za uongozi wa nchi hii kwa nini wagumu kuruhusu watu wajiunge kirahisi kama klabu zingine?

  Pia kwa nini hawawi wazi kuhusu shughuli zao? je hawa ni thinktank au pressugroup au special interest group au ni ma lobbyist? au ni nini? na je washatoa maandiko yepi ili tujue mipango yao ikoje? Na je elimu ya hawa watu ni ipi mpaka wawe na uwezo wa kuwapeleka watu mbio nchi hii?

  Hii thread nia ni kuweka sawa mambo mbali mbali juu ya hii klabu na pia tujue kwa nini inatuhumiwa kuwa ni chaka la wala rushwa wakubwa Tanzania?

  Tazama hii tovuti ya Michuzi utaona nina maanisha nini

  wanafanya hitima kwa ajili ya wanachama wao lakini cha ajabu hawafanyi 40 kanisani kwa ajili ya wanachama wa ''nje''


  http://issamichuzi.blogspot.co.uk/2009/07/klabu-ya-saigoni-yawarehemu-wazee.html


  Naomba wenye habari zao zote watuletee kuanzia kuanzishwa kwao, uongozi, katiba yao na mpaka hapa walipofikia.
   
 2. u

  ugwenousangi Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Watu wanasema sana kuhusu saigon lakini hawaifahamu sawa sawa ukubwa,nguvu na udaifu wake.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Saigon=Freemason=Secret Societ
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  wanafanya hitima kwa ajili ya wanachama wao lakini cha ajabu hawafanyi 40 kanisani kwa ajili ya wanachama wa ''nje''

  Kwa nini wanafanya hitma na hawafanyi 40 kanisani, nadhani ni suala la historia zaidi tukumbuke wengi wa waanzilishi wa klabu hii ni wenyeji wa DSM na hivyo walikuwa/ni waislam. Hata klabu za Simba na Yanga huwa zinafanya hitma ya kuwakumbuka wazee na sio 40 kanisani kwa misingi hiyo hiyo pia.
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  chezeiya saigon weye? ukitaka kuijua saigon uliza watu waliokuwa karibu na serikali ya Mzee Mwinyi kipindi kile watakwambia. Kwa sasa imepungua nguvu yake ya influence nadhani ni kutokana na hali halisi ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa nchi.
   
 7. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nnavyojua mimi Saigon ni kijiwe tu cha Kahawa,akina katiba wala akina hati yeyote kisheria kama chama au kikundi
   
 8. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Hii nayo ni club yenye maamuzi nchini or? Ebu mnifafanulie siifahamu vizuri.
   
 9. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kuna thread nyingine inaongelea mambo ya saigon tangu juzi.. mods please unganisheni hizi threads kwa manufaa ya server.
   
 10. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hii ukisikia wazee wa Dar es salaam ndio hawa wana Saigon,inshort ni thinktank ya Tanzania kwa miaka mingi tu.Just elewa hivyo.
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,563
  Trophy Points: 280
  labda tujifunze historia yao lakini 'upepo' uliopo una nguvu ya umma tu!!!!
   
 12. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa politics za dar bado ina nguvu, lakini si kubwa sana kama kipindi kile cha KK na Dito. Kimejaa wazee wa fitina tu. Iddi Simba ndiye Godfather wao kwa sasa...
   
 13. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mafia-cum-freemason TANZANIA style, ni genge tu la wezi, mafisadi, wala nchi wanaofanya siasa na shughuli zao za kijambazi na mipango mbuzi GIZANI, then wanaileta mbele ya makabwela wajinga nao wanawaunga mkono na kuanza kucheza ngoma za hawa blood suckers, vampires: shame on TISS, hizi za kuzuia mafia kama saigon club ndizo kazi zake lakin wao wanafukuzana na watu wema CDM na kuacha wahalifu ...
   
 14. S

  Starn JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  SAIGON CLUB ndio nini?
   
 15. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hawana influence ki-hivyo, kwenye siasa za sasa draft lake limebadilika sana...........na wengine huikuza tu ili ionekane yenye nguvu sana (hasa member wadogo).......Infact inawahusu sana member wa Wazawa wa mji wa Daslam wengine wakuja waliingizwa tu kutokana na malengo (mazuri kwa mabaya)
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Swali zuri sana...watujuze kwanza hii kitu Saigon then ndio tudadavue mada.

  Can someone do the need...
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hao ndio wazee wa DSM.
   
 18. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,318
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  I think it is among of the secret societies like Freemason!
   
 19. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hata safu ya uongozi wa Jakaya awamu ya kwanza ilipangwa hapo SAIGON CAMP au CLUB wengine wanavyoiita. Nguvu zake zimepungua kutokana na mwanakikundi mmoja kutolewa kafala ambae ni Lowassa.
   
 20. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Hawa Wazee wa mujini hawana power tena siku izi,walimuweza Shy-Rose kwa kuwa nguvu yao imebakia Ilala na Kinondoni tu kisiasa..ata ivyo baada ya hawamu hii nadhani ndio itabaki historia.
   
Loading...